Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cameroon sio GhanaGoal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Ghana Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Upo sahihiGoal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Inategemea unataka nn kutoka kwake kama unataka adake au aanzishe mashambulizi kwasababu hata yule kipa wa Manchester city ni shati sema kwasababu team yake mda mwingi inakuwa na mpira huwezi kuona hilo kwa hyo inategemea kocha anataka nini kutoka kwa kipa ila onana ni modern era goalkeeperGoal keeper wa Man United na Ghana ni kipa wa kawaida sana,nimeangalia mechi zake akiwa Manchester na Cameroon Niseme tu yuko level ya Aishi Manula anazidiwa hata na kipa wa Yanga Diara
Nenda kafanye editing sasaAsante kwa kunisahihisha