Naona unefanya copy and paste bila hata acknowledgementSkudu ni mzuri wa chenga, mbio na entertainment football. Ila tu mechi ya juzi imetoa mshtuko kidogo. Kwamba kati ya umri na pancha (gari ya mkaa, trip shamba trip gereji) inawezekana kimojawapo au vyote vikamuathiri.
Nakumbuka Skudu alikaribia kufunga Mechi na Kaizer na Kross kama 6 hivi.Habari wanaJf
Katika kufuatilia aina ya uchezaji wa hawa wachezaji wawili Onana wa Simba na Skudu wa Yanga kwa mechi mbili walizocheza kwa maana zile za utambulisho wa wachezaji na ngao ya jamii kule Tanga kuna vitu nimeviona vya utofauti kutoka kwa wachezaji hawa.
Mahalatse Makudubela "Skudu" amekuwa ni mchezaji ambaye amekuwa akifanya mambo mengi uwanjani yasiyo na tija kwa timu yake ikiwa pamoja na kupenda kukaa sana na mpira lakini mwishowe kupoteza lengo la huo mpira kwa kutozalisha faida yeyote. Amekuwa ni mchezaji wa kutaka sana kushangiliwa kwa kufanya vitu ambavyo mpira wa kisasa unavikataa 'ball dancer' japo amekuwa akiimbwa sana na mashabiki wa Yanga ila kwa mechi hizo mbili ikiwa hajafanya kitu chochote kilicholipa jitihada za mashabiki kumshangilia.
Willy Essomba Onana nae ameimbwa na mashabiki wake lakini amevimba kichwa kwa kutaka kuivaa Simba kuliko kutoa alichonacho jambo ambalo hupelekea kucheza kistaa na kupelekea kupoteza mpira kirahisi mno. Lakini faida ya huyu jamaa ni aina ya mpira wake ambao ni direct and objective footbal[emoji460] ambao ni aina ya soka la kisasa linalopendwa na makocha wengi wa kisasa duniani japo kuna wakati amekuwa akifanya mambo yanayoigharimu timu. Ameipa Simba mwanga na faida ya kile alichonacho.
Kwa soka la bongo ambalo leo shujaa kesho hufai kwa aina ya uchezaji wao na matumaini makubwa waliyonayo mashabiki wao wanayotegemea kutoka kwao je ni kweli wataendelea kupewa imani hiyo au watasalitiwa mapema tu?
Kwa wataalam wa masuala ya soka na wenye jicho la uchambuzi ni mchezaji yupi atakuwa wa kwanza kupewa "Thank you" na timu yake kwa hawa wachezaji wawili?
Nadhani hata muunganiko wa hizi timu zenyewe bado kidogo labda baada ya kucheza mechi 5 hiviNakumbuka Skudu alikaribia kufunga Mechi na Kaizer na Kross kama 6 hivi.
Onana alifunga Mechi yake ya Kwanza tu na akawa threat kwenye Mechi hiyo.
Mnataka wafanye nini zaidi labda?
Skudu kakamiwa na Wachezaji wa Azam na kuumizwa dakika chache baada ya mechi kuanza. Nani haumii akichezewa rafu? Inonga kaumia sababu ya upuuzi wa Kagere, naye ni gari la Mkaa?
Onana kacheza Mechi ya Singida kama winger na kisha second striker na akasumbua Sana japo hakufunga. Mnataka kumuona Kila siku anafunga ndo mseme ni mzuri?
Muda utaongea wala si lazima wapewe hizo senki yuu unazowaombea.
Hahahaaa ni aibu sana mchezaji anafanyiwa evaluation hata kwa mechi mechi moja kwa kuangalia instincts anazotakiwa kuwa nazo mchezaji ambazo ndizo zinatoa mwelekeo wa nini kipo miguuni mwake na kipi ata deliver kwa timu zaoUnataka tathmini ya nini na wakati ligi bado haijaanza! Wewe ndiyo unaueleta porojo. Maana huwezi kufanya evaluation kwa mchezaji aliyecheza mechi moja tu ya Ngao ya Jamii.
Ile ni rafu mbaya au umri tu ?Ila mambo mengine bwana haya tufanye ni wewe ungechezewa rafu mbaya halafu ukaumia unaweza jivimbisha uendelee kucheza hali ya kuwa umeumia ili uonekane kwa mashabiki???acheni uzwazwa hata wachezaji ni binadamu pia!
vipi ya aliposukumwa Inonga ilikua mbaya mapka akatoka?Ile ni rafu mbaya au umri tu ?
Wanajifariji tu hao baada ya kucheza pira makande badala ya pira biliani. Simba msimu huu ni mbaya kwao kuliko uliopita.Umeingia kwenye propaganda za wachambuzi wetu. Skudu Mechi dhidi ya Azam amecheza dk 7 akaumia na mechi ya kaizer hakumaliza dk.90 ila alicheza vizuri.
mnataka kutuaminisha kuwa Skudu hana chochote zaidi ya kuchezea mpira kitu ambacho si kweli. Mechi ya Kaizer alikuwa na shots on target na alipiga crosses nzuri sasa sijui huo ubaya wake uliuona kwenye mechi gani?
Umestiki kwenye ishu mdogo sana hata mchezeji mzuri anaumia so hatuangalii yeye kuumia ila ni namna anavyocheza ndivyo inakutambulisha ni mchezaji wa kalia ipi so hebu tu deal na hicho kituIla mambo mengine bwana haya tufanye ni wewe ungechezewa rafu mbaya halafu ukaumia unaweza jivimbisha uendelee kucheza hali ya kuwa umeumia ili uonekane kwa mashabiki???acheni uzwazwa hata wachezaji ni binadamu pia!
Kwa kigezo kipi cha ubovu maana hata msimu uliopita haya maneno yalizungumzwa kwamba ilikuwa bora kuliko ile ya msimu uliyopita.Wanajifariji tu hao baada ya kucheza pira makande badala ya pira biliani. Simba msimu huu ni mbaya kwao kuliko uliopita.
Sorry nilikua na haraka,nikajikuta natuma bila kufanya hivyo,dah,samahani sana ChiefNaona unefanya copy and paste bila hata acknowledgement
Ngoja tuone ila kwa squad ya Yanga hata akizingua bado wana watuNahofia kuwa hiki ndicho kitakachomchomoa huyu jamaa soon tusijifanye hatujui tabia za mashabiki wetu
Hv ww huoni kwamba hamna timu?Kwa kigezo kipi cha ubovu maana hata msimu uliopita haya maneno yalizungumzwa kwamba ilikuwa bora kuliko ile ya msimu uliyopita.
Lakini sikushangai kwakuwa ndiyo maneno ya watanzania yaani kinachopita ndicho bora kuliko kilichokuwepo trace kwa viongozi wetu wa nchi
Huyo Skudu miye simkubari hata kidogo show off tembo mpira sunguraHabari wanaJf
Katika kufuatilia aina ya uchezaji wa hawa wachezaji wawili Onana wa Simba na Skudu wa Yanga kwa mechi mbili walizocheza kwa maana zile za utambulisho wa wachezaji na ngao ya jamii kule Tanga kuna vitu nimeviona vya utofauti kutoka kwa wachezaji hawa.
Mahalatse Makudubela "Skudu" amekuwa ni mchezaji ambaye amekuwa akifanya mambo mengi uwanjani yasiyo na tija kwa timu yake ikiwa pamoja na kupenda kukaa sana na mpira lakini mwishowe kupoteza lengo la huo mpira kwa kutozalisha faida yeyote. Amekuwa ni mchezaji wa kutaka sana kushangiliwa kwa kufanya vitu ambavyo mpira wa kisasa unavikataa 'ball dancer' japo amekuwa akiimbwa sana na mashabiki wa Yanga ila kwa mechi hizo mbili ikiwa hajafanya kitu chochote kilicholipa jitihada za mashabiki kumshangilia.
Willy Essomba Onana nae ameimbwa na mashabiki wake lakini amevimba kichwa kwa kutaka kuivaa Simba kuliko kutoa alichonacho jambo ambalo hupelekea kucheza kistaa na kupelekea kupoteza mpira kirahisi mno. Lakini faida ya huyu jamaa ni aina ya mpira wake ambao ni direct and objective footbal[emoji460] ambao ni aina ya soka la kisasa linalopendwa na makocha wengi wa kisasa duniani japo kuna wakati amekuwa akifanya mambo yanayoigharimu timu. Ameipa Simba mwanga na faida ya kile alichonacho.
Kwa soka la bongo ambalo leo shujaa kesho hufai kwa aina ya uchezaji wao na matumaini makubwa waliyonayo mashabiki wao wanayotegemea kutoka kwao je ni kweli wataendelea kupewa imani hiyo au watasalitiwa mapema tu?
Kwa wataalam wa masuala ya soka na wenye jicho la uchambuzi ni mchezaji yupi atakuwa wa kwanza kupewa "Thank you" na timu yake kwa hawa wachezaji wawili?
Tanzania tunawajinga wengi mkuu mtu ana anza kutaka Evaluation kupitia Dakika 7 za mchezaji duuuh!!Unataka tathmini ya nini na wakati ligi bado haijaanza! Wewe ndiyo unaueleta porojo. Maana huwezi kufanya evaluation kwa mchezaji aliyecheza mechi moja tu ya Ngao ya Jamii.