Onana vs Skudu, ni mchezaji gani atakuwa wa kwanza kupewa mkono wa kwaheri katika timu yake?

Onana vs Skudu, ni mchezaji gani atakuwa wa kwanza kupewa mkono wa kwaheri katika timu yake?

Lengo lako lilikua kumzungumzia Skudu na sio Onana hilo linajidhihirisba kwenye Uchambuzi wako.

Na kingine utakua Mpuuzi na Jinga la Kupindukia kama Skudu utampima kwa Dakika 7 za Community shield au zile dakika za Yanga Day.

The same kwa Onana utakua Fala na zwazwa kama utamzungumzia na kumkosoa kisa zile dakika z Simba Day na Hizi za Community shield.

Bado wana mda tulia acha kuandika ili ujaze thread ambazo zinaonyesha ujinga wako.
Acha hasira kama nimemgusa mchezaji wako

Usije ukasahau kama safari njema huonekana mwanzo wa safari kwahiyo katika soka inatosha kutoa tathimini kwa kilichofanyika tayari
 
Tanzania tunawajinga wengi mkuu mtu ana anza kutaka Evaluation kupitia Dakika 7 za mchezaji duuuh!!
Ndio maana hua wanapigwa sana Makolo kwenye swala la Usajili.
Kwanini Ngushi alipewa sifa nyingi sana kwa kucheza dk 45 na akasemwa kwa sasa amexaliwa upya ilikuwaje aimbwe kwa nderemo na mapambio kwa dk 45 tu na ulikuwa mmoja wa wale walioamini kwamba kijana amekuwa na kiwango bora kwa sasa.

Nikukumbushe kitu katika soka takwimu inaandikwa katika kila sekunde na ikabaki kama kumbukumbu.
 
Muda utaongea tusiwe watabiri juu ya skudu
 
Yanga haijafika hiyo level ya kuwa na mchezaji kivuli uwanjani huku ukiwa haina wachezaji wenye kutoa matokeo ya uhakika. Huyo Romario alikuwa ball dancer ila pia alikuwa na msaada mkubwa sana katika nchi yake hususani kufunga na kutoa pasi za magoli ila pia kulikuwa na wengine kibao ambao walikuwa muda wowote wanafunga kama Ronaldo, Dunga, Rivardo na wengine.

Je Skudu atakuwa na faida ipi huku Yanga ikiwa inahitaji matokeo na sio mpira wa majukwaa?
kwani skudu kacheza mechi ngap akiwa na yanga za kimashindano? tumia akili kwenye kutoa hoja hata uyo onana pia bado mapema kumuhukumu,yanga kulikuwa na calinho mbona alifanya poa wabongo mnakuwa vichwa maji sana tatzo

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Skudu siku anatambulishwa alitoa shoo kali sana pale alicheza na mpira mpaka mashabiki wakapagawa. Kituko nikakiona kwenye utambulisho wa Simba yupo mchezaji alikuwa anahangaika kuutuliza mpira kichwani bila mafanikio ya Ngoswe muachie Ngoswe[emoji23]. Skudu kapeleka burudani Jangwani
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Onana anaweza akawa mchezaji wa kawaida tu, ila ana force ufalme. Yaani katika mbio ndefu ye anataka alazimishe kuanza na speed kali ili wenzie waanze kumfuata nyuma. Anataka ndio awe leading goal getter wa timu.

Hivi vitu huja automatically tu. After a time na several matches with several substitutes kocha atapata tu first eleven. Sio Kwa kulazimisha hata umebanwa hutaki kutoa pasi.

Skudu ni mzuri wa chenga, mbio na entertainment football. Ila tu mechi ya juzi imetoa mshtuko kidogo. Kwamba kati ya umri na pancha (gari ya mkaa, trip shamba trip gereji) inawezekana kimojawapo au vyote vikamuathiri.

All in all muda ndio hakimu mzuri, itafahamika tu.
umeongea kimpira Kongole

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nahofia kuwa hiki ndicho kitakachomchomoa huyu jamaa soon tusijifanye hatujui tabia za mashabiki wetu
kwani mashabiki ndo wanalipa mishahara mashabiki kupiga kelele ni jadi yao...hasa mashabiki wa kibongo bendera vichwa maji fata upepo wana judge kwa hisia mpira una njia zake,mentality zake,pamoja na vikolombwezo vyake usilazimishe maoni yako ndo yageneralize mambo

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Lete tathimini yako ya soka sio porojo lengo ni kujua nani ataleta mafanikio katika timu..in short hizi ni sajiri mbili zilizoimbwa sana na mashabiki wa hizi timu
sajili ni kamari kuimbwa kutokuimbwa ni mashabiki wanaamua,chuki zako wivu wako peleka kwenye familia yako mkuu ujikwamue na umaskini ulionao

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka Skudu alikaribia kufunga Mechi na Kaizer na Kross kama 6 hivi.
Onana alifunga Mechi yake ya Kwanza tu na akawa threat kwenye Mechi hiyo.
Mnataka wafanye nini zaidi labda?
Skudu kakamiwa na Wachezaji wa Azam na kuumizwa dakika chache baada ya mechi kuanza. Nani haumii akichezewa rafu? Inonga kaumia sababu ya upuuzi wa Kagere, naye ni gari la Mkaa?
Onana kacheza Mechi ya Singida kama winger na kisha second striker na akasumbua Sana japo hakufunga. Mnataka kumuona Kila siku anafunga ndo mseme ni mzuri?
Muda utaongea wala si lazima wapewe hizo senki yuu unazowaombea.
kwa kumbukumbu tu fainali pale ukraine liverpool na real madrid salah aliumia mapema je na yeye ni gari la mkaa?

mleta mada ana shida mahari

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
kwani mashabiki ndo wanalipa mishahara mashabiki kupiga kelele ni jadi yao...hasa mashabiki wa kibongo bendera vichwa maji fata upepo wana judge kwa hisia mpira una njia zake,mentality zake,pamoja na vikolombwezo vyake usilazimishe maoni yako ndo yageneralize mambo

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Bado haitufungi kwenye tanuli na kutufanya kuwachambua hawa wachezaji wawili..

Elewa maana ya maoni na mtazamo wa mtu..hata wewe ulichokitoa [emoji115]ni mtazamo wako ambao inabidi kuuheshimu
 
Onana anaweza akawa mchezaji wa kawaida tu, ila ana force ufalme. Yaani katika mbio ndefu ye anataka alazimishe kuanza na speed kali ili wenzie waanze kumfuata nyuma. Anataka ndio awe leading goal getter wa timu.

Hivi vitu huja automatically tu. After a time na several matches with several substitutes kocha atapata tu first eleven. Sio Kwa kulazimisha hata umebanwa hutaki kutoa pasi.

Skudu ni mzuri wa chenga, mbio na entertainment football. Ila tu mechi ya juzi imetoa mshtuko kidogo. Kwamba kati ya umri na pancha (gari ya mkaa, trip shamba trip gereji) inawezekana kimojawapo au vyote vikamuathiri.

All in all muda ndio hakimu mzuri, itafahamika tu.
Ila ile rafu haliyo chezewa skudu ni mbaya sana mkuu
 
Back
Top Bottom