Once a sleeping giant,TZ overtakes Kenya

Once a sleeping giant,TZ overtakes Kenya

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
SERENGETI_migration.jpg



The Great Serengeti migration. The movement of vast numbers of the Serengeti’s wildebeest, accompanied by large numbers of zebra, and smaller numbers of Grant’s gazelle, Thompson’s gazelle, eland and impala is one of the country’s tourist attractions that lure thousands of visitors annually. PHOTO | FILE

By The Citizen

Posted Monday, October 21 2013 at 08:04

IN SUMMARY

  • The World Bank data have not only point to Tanzania’s giant leap in tourism, it also says the country received $1.3 billion in 2008, as opposed to Kenya’s $752 million during the same period

Dar es Salaam. For the second time in five years, Tanzania tourism sector earned $1.56 billion (Sh2.574 trillion) surpassing Kenya’s $1.3 billion (Sh2.14 trillion), a difference of $260 million, The Citizen has learnt.

This unveils the fact that Dar es Salaam has more of the world’s class tourist attractions compared to Nairobi.

Not only have WB data pointed out that but also said that Tanzania received $1.3 billion in 2008 compared to Kenya’s $752 million during the same period, all accrued from tourism.

It is understood that in 2008, the first time Dar surpassed Nairobi, Kenya was passing through a difficult period due to the post-election violence that left about 1,100 dead and over 600,000 others internally displaced, thus profoundly affecting tourism sector.

But, in the year 2012, Dar es Salaam surpassed Nairobi at the time when the latter was enjoying very stable conditions politically and economically. However, this means that if Tanzania is to fully address the myriad challenges facing how it operates tourism sector, it would remain the dominant giant in the region.

Tanzania has 31,365 hotel rooms as compared to Kenya’s 24, 354 and South Africa’s 61,417.

There are about 390,000 hotel rooms in sub-Sahara Africa. Unbranded guest houses and lodges dominate accommodation facilities while only ten per cent or about 35,200 rooms meet international standards, according to data released by WB.

South Africa has about half the region’s stock of international standard accommodation. Kenya, however, has 2,284 international standard rooms compared to Tanzania’s 1,588, while occupancy rate is 92 per cent for Kenya and 43 per cent for Tanzania.

“We forecast that employment in travel and tourism in 2021 will be 463,800 for Tanzania and 273,500 for Kenya,” the WB report says. Currently, Tanzania is the second top tourist destination by accommodation, after South Africa, according to the report by WB.

Challenging the myth

These fresh data by WB challenge pre-conceived myth about Tanzania’s tourism indicating the great potential of the sector and how it can transform the country’s economy.

The details that are included in a recent World Bank report shows that not only has Tanzania tourism earnings and arrivals surpassed Kenya’s but also that the proceeds from tourism brought back to the country several times higher than those from exported cash crops like coffee and cotton.


Titled ‘Tourism in Africa: Harnessing Tourism for Growth and Improved Livelihoods’, the report argues that tourism can transform the economies of Tanzania and other African nations and help in reducing poverty only if infrastructure and tourist facilities such as hotels were to be improved.

“A frequent criticism about tourism is that the destination receives only a portion of the total cost of a tourist’s expenditure. But this belief ignores the inputs, entrepreneurship, and risks taken by businesses in the countries of tourist origin,” the report noted.

The report says Tanzania captures about half the global value chain in tourism packages sold in Europe, but this estimate excludes discretionary spending by tourists.

“On the other hand coffee growers in Tanzania can only expect to receive about 4 per cent of the final retail price of the coffee sold in supermarkets in Europe. If basic processing, packaging, and transportation are added, the country still only captures about 8 per cent of the final retail price of coffee,” the report said.

It is possible to increase tourism receipts beyond the 50 per cent currently availed, the report says, by making sure tourist facilities procured local services and products for their businesses.

The report noted with concern that most hotel furniture used in tourist accommodation facilities are imported from China and that no trade link existed between local tourism enterprises and the local furniture industry.

“The other challenge is how to manage and mitigate the social and environmental impact of large tourism sectors. Tanzania’s northern circuit is overloaded and the country is trying to create new areas for tourism growth in the south, in the Selous Reserve, Zanzibar, Pemba, and Mafia Islands,” the report says.

Tourism stakeholders have agreed with the report saying it portrayed correctly the potential of Tanzania’s tourism.

Mustapha Boay Akunaay the Tanzania association of Tour Operators (Tato) Executive Secretary said the increase of tourism earnings tells how important the sector is to the country economy.

“This reveals the commitment of tour operators and the government in marketing and ensuring security of tourists in the country is paying off,” said Mr Akunaay. But more must be done in terms of legislative environment and improvement of transport infrastructure and accommodation facilities.“For years it was termed that agriculture and minerals were the key foreign exchange earners, but the truth is that tourism is the major player,” said Mr Akunaay

In overall performance in terms of contribution to the country’s Gross Domestic Product valued at $29 billion, agriculture is still the significant contributor.

However, for the country to earn more from the sector the government needs to establish reliable infrastructures especially airports, hotels, railways and road network.


For instance, Julius Nyerere International Airport, which is set to undergo expansion, is currently overwhelmed by the number of passengers especially during the high season for tourists. “The government must also harmonise landing fees so as to attract more airlines,” he said.

“The survey established that tourism firms of all sizes faced higher regulatory costs than firms in general, tax compliance was more burdensome, and municipal regulations were a far greater problem in this sector than for others,” the report says.

Additional reporting by Veneranda Sumila


 
Hayo mafanikio ni mazur na hongera tz kwa hayo.
But inabid sheria kuhusu maliasil na utarii zifanyiwe marekebisho makubwa il kuongeza uthibit na utunzaji wa maliasil.

Siasa na uswahiba vipunguzwe ktk sector hii na utendaj na uwajibikaj ndo uchukue nafasi.

Miundo mbinu kama hotel,barabara na ulinz na usalama ktk vivutio vyetu viongezwe na kuboreshwa to intermational level.

Kinana na wenzake wathibitiwe il tuendee kuwa na wanyama wa kuwavutia watalii.

Usafirishaji wa magogo udhibitiwe na utunzaji wa vivutio vyetu uwe shirikish kwa jamii inayozunguka maeneo hayo na elimu pia wapewe khsu maliasil hizo na wanufaike nazo.

Sera kwa wazawa kuwekeza ktk sector hii kwa kujenga mahotel, kuanzisha kampun za usafirishaj zipewe kipaumbele.

Then kenya watakuwa wanatusikia tunapaa tu kila sector na tunaweza tukiamua.
 
It is known, kenya does NOT have what Tanzania has, period. Tanzania ni ujinga tu ndiyo unatusumbua lakini if we had serious leaders this country would east Africa's giant.

mkuu kama wewe ni mtz usiwe na inferiority complex namna hiyo,secta ya utalii ilikuwa chini tz miaka mingi kutokana na siasa ya ujamaa ambayo tz ili adopt muda mfupi baada ya uhuru na siyo ujinga kama unavyofikiria, ukiangalia hiyo report inaonyesha pamoja na kukuwa kwa investments kwenye utalii lakini pia ghasia na mauaji baada ya uchaguzi huko kenya umechangia kushusha pato lao kwenye hii sekta, sasa kati ya wa tz na hao kenya hapo nani ni mjinga!!!!!
 
mkuu kama wewe ni mtz usiwe na inferiority complex namna hiyo,secta ya utalii ilikuwa chini tz miaka mingi kutokana na siasa ya ujamaa ambayo tz ili adopt muda mfupi baada ya uhuru na siyo ujinga kama unavyofikiria, ukiangalia hiyo report inaonyesha pamoja na kukuwa kwa investments kwenye utalii lakini pia ghasia na mauaji baada ya uchaguzi huko kenya umechangia kushusha pato lao kwenye hii sekta, sasa kati ya wa tz na hao kenya hapo nani ni mjinga!!!!!




Nilisema ujinga kwa sababu Kenya walikuwa wanajitangaza kiutalii sisi tulikuwa tunategemea kuwa wageni wakija ndiyo wataitangaza Tanzania nje ya nchi. Kenya mpaka wakawa wanatumia jina la Serengeti na kusema kuwa iko in Kenya pamoja na Kilimanjaro. Watalii wakawa wanaenda Kenya kule Masai Mara (extension ya Serengeti kwa huku kwetu) na kuwadanganya watalii kuwa ile ndiyo Serengeti. Mbuga za wanyama Kenya ziko rubbish na hakuna hata moja ambayo unaweza fananisha na za hapa kwetu ila wao walituzidi tu kwa kujitangaza na kudanganya watu when we were sleeping.
 
Hizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.

Hapo sasa!
 
Kwenye nchi za Southern Sahara,Tanzania tulitakiwa tuongoze kwa kila sector.Labda South Africa tu ndio kidogo ingetusumbua. Lakini ni kutokana na ujinga wetu ndio maana baadhi ya nchi zilituzidi. Sasa hivi kumekucha,jogoo amewika,tufunue shuka tuamke. Hizo data za World Bank zinajieleza!
 
Hizo ndio baadhi ya faida za safari za Kikwete, sasa pigeni hesabu, gharama za safari zake na faida inayoanza kujionesha, na huo ni mwanzo tu, hiyo ita double kila miaka 3.

Hapo sasa!

Yawezekana kuwa ni kweli,
Sasa FF kwa kuwa uko karibu na mkuu, mwambie jamaa zake wa mipango miji wamelala, hawa wawekezaji wanaomiminika sasa watachafua nchi yote. Nikupe mfano. Ukianzia pale Mwandege kama unakwenda Mkuranga, unakuta ujenzi wa viwanda umeshamiri sana,lakini ujenzi huu unafanyika ktkt ya makazi ya watu. Kisemvule/Dundani/Mwanambaya ni vurugu tupu, nyumba ya kuishi kiwanda,nyumba ya kuishi godown, nk

Bagamoyo ukienda unafurahi, kuna ukanda wa Mahotel walau inaleta sura nzuri. Na huku kwetu wangetupangia maeneo ya biashara hizi za kimataifa, mfano Kisiju wangetenga eneo la ukanda huo wa hotel za kitalii ingependeza.
 
Yawezekana kuwa ni kweli,
Sasa FF kwa kuwa uko karibu na mkuu, mwambie jamaa zake wa mipango miji wamelala, hawa wawekezaji wanaomiminika sasa watachafua nchi yote. Nikupe mfano. Ukianzia pale Mwandege kama unakwenda Mkuranga, unakuta ujenzi wa viwanda umeshamiri sana,lakini ujenzi huu unafanyika ktkt ya makazi ya watu. Kisemvule/Dundani/Mwanambaya ni vurugu tupu, nyumba ya kuishi kiwanda,nyumba ya kuishi godown, nk

Bagamoyo ukienda unafurahi, kuna ukanda wa Mahotel walau inaleta sura nzuri. Na huku kwetu wangetupangia maeneo ya biashara hizi za kimataifa, mfano Kisiju wangetenga eneo la ukanda huo wa hotel za kitalii ingependeza.

Rome was not built in a day, si unaona Magufuli anavyoweka mawe barabarani na anavyopigwa vita? kuna sheria inabidi zirekebishwe.

Viwanda zaidi ya 400 Tanzania nzima miaka 7 ya Kikwete. Record hii haijawahi kuonekana kuanzia tupate Uhuru ukijumlisha pamoja wooote wa kbala yake, hata nusu haifiki. Unaelewa hilo?

Kikwete juu sana.
 
Rome was not built in a day, si unaona Magufuli anavyoweka mawe barabarani na anavyopigwa vita? kuna sheria inabidi zirekebishwe.

Viwanda zaidi ya 400 Tanzania nzima miaka 7 ya Kikwete. Record hii haijawahi kuonekana kuanzia tupate Uhuru ukijumlisha pamoja wooote wa kbala yake, hata nusu haifiki. Unaelewa hilo?

Kikwete juu sana.

Tatizo lake kuu ni ufisadi na madawa ya kulevya! Kama vile anavipenda? Hivi vinafuta dalili zote za mafanikio na ndio hasa vinafanya aitwe Dhaifu
 
Rome was not built in a day, si unaona Magufuli anavyoweka mawe barabarani na anavyopigwa vita? kuna sheria inabidi zirekebishwe.

Viwanda zaidi ya 400 Tanzania nzima miaka 7 ya Kikwete. Record hii haijawahi kuonekana kuanzia tupate Uhuru ukijumlisha pamoja wooote wa kbala yake, hata nusu haifiki. Unaelewa hilo?

Kikwete juu sana.

Punguza hadaa, viwanda 400 viko wapi?
 
Rome was not built in a day, si unaona Magufuli anavyoweka mawe barabarani na anavyopigwa vita? kuna sheria inabidi zirekebishwe.

Viwanda zaidi ya 400 Tanzania nzima miaka 7 ya Kikwete. Record hii haijawahi kuonekana kuanzia tupate Uhuru ukijumlisha pamoja wooote wa kbala yake, hata nusu haifiki. Unaelewa hilo?

Kikwete juu sana.

Huu m.zimu sijui umeibukia wapi...
 
Punguza hadaa, viwanda 400 viko wapi?

Hivi wewe hata huelewi kinachoendelea kwenu?

Sasa itabidi kwanza uende ukatafute EPZ ngapi zimefunguliwa Tanzania kisha uje na data, kuna viwanda vingapi hapo? halafu uende ukatafute SIDO kwa miaka 7 nyuma imeanzisha viwanda vingapi? ukimaliza napenda kukujuza kuwa:

Viwanda vya simenti pekee kwa wakati huu vipya si chini ya 10, sasa hesabu na viwanda supplementary ya hivyo, ukimaliza njoo unieleze viwanda vipya vya chuma vingapi uvijuavyo? viwanda vya kufuwa umeme vya aina zote, gas, mawe, maji, diesel, vipya ulivyovisikia vimeanza kujengwa na vilivyokwishwa jengwa kipindi hiki.

Ukimaliza hayo, naomba uje na hesabu ya viwanda vya Bakhresa pekee vilivyoanzishwa wakati huu.

Nakuongezea kiduchu, epz pekee ina viwanda 13 vya nguo vipya.

Nenda katafute hizo data kisha urudi, si ungojee kubishana kijinga tu.
 
Punguza hadaa, viwanda 400 viko wapi?

Pata darsa dogo hapa usiyeelewa hata yanayojiri nchini mwako:

Kuna viwanda vilivyoanza kusindika ngozi hadi kiwango cha kati (crust leather) na
cha mwisho (finished leather) kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za ngozi hapa nchini.
Upatikanaji wa ngozi iliyosindikwa unachochea uanzishwaji wa viwanda vidogo na vya
kati ambapo bidhaa mbalimbali zikiwemo viatu, mabegi, na mikanda vinazalishwa.
Ajira katika viwanda hivi imeongezeka kutoka wafanyakazi 22 mwaka 2006 hadi
wafanyakazi 1150 mwaka 2011

Source: http://www.mit.go.tz/pdf/Ifahamu Sekta ya Viwanda.pdf

Sasa nakuuliza, jee unajuwa kuwa Hotels zinaangukia katika "Hospitality Industry"?

Sasa katika hesabu zako huko juu onegezea hotels ngapi mpya za kitalii ulizozisikia tu, wacha kuzijuwa?

Jee, Unaelewa kuwa Hotel Bora duniani kwa miaka miwili mfululizo iliyopita ipo Tanzania?

Kalagabaho!

Ukijibu hayo amma kwa kukubali amma kwa kukataa nnakuongeza vingine, mpaka utaona hiyo idadi ya 400 niliyokupa nimeishusha mno, kwani nnafahamu watu kama wewe mpo humu na mtakuja kutafuta kubisha kwa msiyoyaelewa.
 
Tatizo lake kuu ni ufisadi na madawa ya kulevya! Kama vile anavipenda? Hivi vinafuta dalili zote za mafanikio na ndio hasa vinafanya aitwe Dhaifu

Huo ufisadi na Madawa ya kulevya ullisikia vikishughulikiwa kabla ya Kikwete? mawee!

Yule anaetenda ki ukweli nyinyi hamumuoni. Ufisadi unaosemwa wote umetoka kwa Mkapa na nyuma zaidi, ukaibuliwa wakati wa Kikwete na mpaka Mramba akafungwa, unafikiri ni madogo hayo?
 
It is known, kenya does NOT have what Tanzania has, period. Tanzania ni ujinga tu ndiyo unatusumbua lakini if we had serious leaders this country would east Africa's giant.
Even this little we are seeing now comes out of political challenges engineered by opposition. We can expect more if this dominant and long term party is ousted.

 
It is known, kenya does NOT have what Tanzania has, period. Tanzania ni ujinga tu ndiyo unatusumbua lakini if we had serious leaders this country would east Africa's giant.

Nyerere killed each and every industry in Tanzania. Thanks to Kikwete he has revived the Tourism industry, we will see an influx of tourists, what we see now is not even 5% of what will be seen in a very near future.
 
Nyerere killed each and every industry in Tanzania. Thanks to Kikwete he has revived the Tourism industry, we will see an influx of tourists, what we see now is not even 5% of what will be seen in a very near future.
Nyererephobia +Udini.......utakumaliza we mwanamke.....
 
Nyererephobia +Udini.......utakumaliza we mwanamke.....

Nyuzi hii inakujibu ujinga wako:

Humu ndani, kuna watu wakiona Hayati Julius Nyerere, the First Preisdent wa URT anasemwa vibaya basi wanakuja juu!! Kinachonikera mimi, ni wengi wao kuhusisha na imani za dini! Kwamba, mtu akisema ubaya wa Nyerere, na hasa mtu huyo akihisiwa ni Mwislamu, basi hoja ya wapofu wa hoja watachukulia ukosoaji huo ni chuki ya waislamu dhidi ya Nyerere!! Hivi ni lini Waislamu wamepata kuwa na chuki na mwalimu?! Sasa haya mambo kwamba mtu akitaja mabovu ya Mwalimu basi ni chuki za waislamu dhidi ya mwalimu yanatoka wapi?! Binafsi, am muslim, na kama utaniambia nikutajie my favorite president sitasita kumtaja Julius Nyerere. lakini pamoja na yote hayo, kama nitaambiwa nitaje top two poorest presidents ever happaned in our history, basi Nyerere ni mmoja wapo, akiwa sambamba na mwinyi! Binafsi, nikimwangalia Nyerere, ni eneo moja peke yake ambalo linaweza kumweka kama best leader! hakuwa corrupt leader ingawaje serikali yake ilikuwa very corrupt government!! Na wala si kweli kwamba Nyerere alikuwa mkali kwa corrupt leaders, vinginevyo nchi hii Mwinyi asingeikuta alipoikuta! Sana sana ki2 ambacho labda Nyerere aliweza kuzuia ni kutokuwa na State House corrupt leaders...lakini ukitoka hapo, wengi walikuwa corrupts!

Serikali ya Nyerere ilijaa watendaji ambao walikosa kabisa uwajibikaji na ndio maana Mwinyi alikuja na kitu kilichojulikana kama Fagio La Chuma! Kwanini awe na fagi la chuma wakati uwajibikaji ulikuwapo?! Serikali isiyo corrupt, haiwezi kuwa na irresponsible leaders. Ni kweli, Nyerere hakuwa corrupt leader, lakini aliendesha corrupt government na anayebisha aniambie kwanini viwanda vyote vilifia mikononi mwake!!

Ni kweli JK ni goi goi! hata Nyerere alikuwa ni goi goi kupita kiasi!! hakuwa mkali kama tunavyoaminishwa watu ambao hatukuwa na ufahamu wakati wa utawala wake. Nyerer alikuwa mkali kwa wapinzani wake wa kisiasa, and not otherwise!! Kama alikuwa mkali kweli, umasikini tulionao ulitokea wapi?! Aliwafanya nini waliokuwa wanaharibu mali za umma zaidi ya kuwahamisha?! kama sio ugoi goi tuite nini hii?!

Kulikuwa na miradi kadhaa ambayo ilianzishwa wakati wa utawala wake, na vilevile ilikufa hata kabla haijafika kokote....sasa kama sio ubadhirifu huo tuite nini?! Siwezi kumsifia kiongozi aliye msafi yeye pekee na familia yake wakati serikali yake imejaa watu irresponsible!!

Amekaa Ikulu more than 20 years lakini ametoka akiwa ameachwa barabara zimejaa mahandaki kila mahali!! Bahati mbaya sana, sehemu ambazo zilikuwa na corrupt leaders toka kwenye serikali yake ndio sehemu pekee ambazo angalau zilikuwa na barabara nzuri kidogo! Sehemu ambazo walitoka honest leaders kama yeye, ndizo zikabaki balaa tupu!!! Hiyo ndio sababu kuu iliyofanya mikoa ya kusini kuwa hoe hae zaidi kwani viongozi wake wengi walikuwa honest kama yeye...hawa ni pamoja na akina Kawawa na Nnauye! Hivyo, umaskini wa kusini haukusababishwa na Nyerere kama Nyerere, bali ulisababishwa na irresponsible central government ambayo ugawaji wa keki ya taifa haukuwa the same! ilitegemea sana sehemu husika ana power gani serikalini and how corrupt s/he is!!!

Nyerere ameondoka akiwa ameacha vyuo vikuu viwili tu, UDSM na SUA na kuishia tu ktk kujenga vyuo vya kati ambavyo hata hivyo navyo productivity yake ilikuwa chini. Chuo pekee cha kati ambacho kilikuwa kinatoa elimu ya maana labda ni Mzumbe peke yake....na sababu kuu ni kwavile kilikuwa more political! Tena hata nina mashaka kama kweli kilikuwa kinatoa elimu ya maana!! tangu lini katibu wa nini sijui mwenye miaka 45++ akaweza kuhimili mikiki mikiki ya elimu ya juu?! Tunaambiwa enzi zake elimu ilikuwa na ubora kuliko sasa!! na hii ndio tabia ya wazee....kwamba kila ki2 chao kilikuwa bora!!! Huo ubora ulisaidia nini basi katika kutatua matatizo ya uchumi wa nchi hii?! Sana sana hao tunaoambiwa walikuwa wasomi wakati wa elimu bora ndio hao hao waliogeuka kuwa corrupts wasio na haya wakati wa Mwinyi.....bisheni!!! Kama ni kweli wakati huo elimu ilikuwa bora basi vilevile ilisaidia kuzalisha BEST CORRUPT LEADERS!!! Serkali corrupt haiwezi kuwa na jeuri ya kujenga vyuo vikuu vya kutiosha kwavile haina fedha.....kutokuwa na fedha ni dalili ya serikali corrupt!!!
MATATIZO ya umeme tuliyonayo hivi sasa source yake ilikuwa enzi za mwalimu!!! Serikali ya Mwalimu haiku-forecast mahitaji ya umeme over the next 50 years!! Ni kweli, wakati wa Nyerere, haukuwa wa mgao! Sasa mgao ungetoka wapi wakati nyumba zenyewe za umeme zilikuwa chache?! Mgao ungetoka wapi wakati hakukuwa na uzalishaji mkubwa wa kuhitaji matumizi ya umeme?! Mgao ungetoka wapi wakati hata kumiliki radio ilikuwa ni anasa?! Kwahiyo, si kwamba ni uongozi bora wa Nyerere ambao ulifanya nchi isiwe na mgao/upungufu wa umeme, bali hiyo ilikuwa ni matokeo ya serikali mbovu!

Tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Huduma gani za jamii?! hizo za kufuata zahanati kilometa 50 na shule ya msingi kilometa 10?! Dar es salaam yote hii aliacha shule saba tu za sekondari (za serikali, ambazo hata hivyo hakujenga yeye)-Jangwani, Azania, Tambaza, Forodhani, Kisutu na Kibasila!!! Nani atakayethubutu kusema kwamba shule hizo zilikuwa zinakidhi mahitaji ya elimu ya sekondari jijini? Huko mikoani ndo ilikuwa balaa tupu, unaweza kukuta mkoa mzima una shule moja au mbili za serkali.....bado tunaambiwa huduma za jamii zilikuwa bure! Ni serikali gani ingeshindwa kuhudumia shule chache kama hizo?!

Ubovu wa serikali ya Nyerere ni mwingi kuliko uzuri wake, otherwise, wale wanaoona kwamba mgtu akisema basi ana chuki za kidini (styupid thinking) basi anitajie hapa mazuri yaliyofanywa na serikali yake ambayo natarajia yawe mengi kuliko mabovu!

wapo watakaosema kwamba Nyerere amewezesha nchi hii kuwa na amani! Kwani aliichukuwa wakati nchi haina amani?! Sifa kama hizo anatastahili kupewa Kagame aliyechukua nchi baada ya mauaji ya kutisha nchini mwake! Anyway, waliosoma historia wanisaidie kunitajia ni vita gani vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimepata kupiganwa Tanganyika katika karne ya 19! Kama hakuna au zilikuwa si za kutisha sana, basi inawezekana Watanganyika hatuna silika ya kupigana tangu zama hizo!!

Hivyo basi, mtu anavyotaja ubovu wa Nyerere inakuwa ni ujinga uliepitiliza kusema kwamba ni chuki binafsi...Na inakuwa sio ujinga, bali ni upumbavu mtu akisema ni chuki za kidini! Nyerere kama Nyerere alikuwa was a very good person BUT NOT A GOOD LEADER! He was a good person who was a poor leader! Kutokana na hayo, sipati kigumumizi hata chembe kusema wazi kwamba SI KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MAPUNGUFU, BALI ALIKUWA KIONGOZI MBOVU! Ukweli wenyewe ndio huo, ukiona mgumu kuumeza, chukua maji ushushie!

Anayekataa, atoe data za mazuri yake kama kiongozi yenyewe manufaa kwa Tanzania!

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kuwa-na-mapungufu-alikuwa-kiongozi-mbovu.html
 
Back
Top Bottom