Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana.
Tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe, Sadio, Saido, Chama, Sakho, Mzamiru, Phiri, Bocco, Manula basi, hao wengine waliobakia ndio hao wametupa matokeo kule zanzibar, endeleeni na ukaidi viongozi wetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app