Ondoa haraka sana virusi Mwinuke, Okwa, Kapama, Kibu, Kiyombo, Mkude, Okrah, mtamtia matatizoni kocha mbrazil

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana.

Tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe, Sadio, Saido, Chama, Sakho, Mzamiru, Phiri, Bocco, Manula basi, hao wengine waliobakia ndio hao wametupa matokeo kule zanzibar, endeleeni na ukaidi viongozi wetu.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana, tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe, Sadio, Saido, Chama, Sakho, Mzamiru, Phiri, Bocco, Manula basi, hao wengine waliobakia ndio hao wametupa matokeo kule zanzibar, endeleeni na ukaidi viongozi wetu

Hizi nyuzi mbona mapema sana[emoji16][emoji16]
 
Yaani kama wachezaji wenyewe ndio hawa waliokimbizwa mwanzo mwisho na mlandege, kocha wetu mpya kazi anayo, tena kubwa sana, tusitarajie kupata matokeo kwa kuwategemea akina kapombe, zimbwe, Sadio, Saido, Chama, Sakho, Mzamiru, Phiri, Bocco, Manula basi, hao wengine waliobakia ndio hao wametupa matokeo kule zanzibar, endeleeni na ukaidi viongozi wetu

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kitaumana muda si mrefu
 
Simba mdebwedo, pumbavu zake.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mpira ungekuwa hivi basi them zingebaki nyeupe, Jana Liverpool kafa 3 Kwa Brentford, kina Salah, Allison, Trent, Alcantara wangekuwa wauza karanga muda huu
 
Wasahangiliaji wa Tz hasa nyie wa Simba mna umbumbumbu uliopitiliza, hivi kwa mtu anayejua mpira unaweza kusema Okrah aondolewe kikosini?. Mchezaji kaanza msimu vizuri bahati mbaya kapata majeraha ndio amerudi unataka aachwe?, Huyu ambaye mlimuimba kuwa mchezaji pekee wa kombe la Dunia 😅.
Saizi naona mmempumzisha mzee Bocco baada ya kwenda kurenew mafaili kwa mganga.....!!, Hapo Simba wachezaji wageni hawawezi kuwa na muundelezo mzuri sababu kubwa wachezaji wa kizawa ni washirikina haswa..., Hata huyo chama amekuwa Bora baada ya kuusoma mchezo nakuamua kujiweka fit haswa vinginevyo angekuwa mzee wa pancha kila Mara...!!. .
Simba ilihitaji kupata wachezaji Kama 6 wenye kwa quality kubwa Ila bahati mbaya wameangukia kwa kocha ambaye sio tatizo kwa Simba Sasa. Timu yenye wachezaji 11 wasio na mbadala ni hatariiii huko makundi huyu kocha mtamkata..🏃🏃
 
Wasahangiliaji wa Tz hasa nyie wa Simba mna umbumbumbu uliopitiliza, hivi kwa mtu anayejua mpira unaweza kusema Okrah aondolewe kikosini?. Mchezaji kaanza msimu vizuri bahati mbaya kapata majeraha ndio amerudi unataka aachwe?, Huyu ambaye mlimuimba kuwa mchezaji pekee wa kombe la Dunia [emoji28].
Saizi naona mmempumzisha mzee Bocco baada ya kwenda kurenew mafaili kwa mganga.....!!, Hapo Simba wachezaji wageni hawawezi kuwa na muundelezo mzuri sababu kubwa wachezaji wa kizawa ni washirikina haswa..., Hata huyo chama amekuwa Bora baada ya kuusoma mchezo nakuamua kujiweka fit haswa vinginevyo angekuwa mzee wa pancha kila Mara...!!. .
Simba ilihitaji kupata wachezaji Kama 6 wenye kwa quality kubwa Ila bahati mbaya wameangukia kwa kocha ambaye sio tatizo kwa Simba Sasa. Timu yenye wachezaji 11 wasio na mbadala ni hatariiii huko makundi huyu kocha mtamkata..[emoji125][emoji125]
Umemalizaaa haswaaaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom