Ondoa ''misconception'' kuhusu Wanyarwanda


Umekomaa kuwatetea watu usiowajua, tuambie umeishi Rwanda miaka mingapi? Maana huwezi kukomaa namba hiyo, au na wewe umetumwa. Personality ya huwezi kuijua kwa siku mbili. Mkiweza si mnaenda kuomba uraia, si hawana tabu. Tuacheni tunayoipenda Tanzania yetu, mama yako hata akufanyie kosa gani bado ni mama yako. Kwangu ni Tanzania na naipenda ncji yangu, sijwahi kutamani kuwa raia wa taifa tofauti. H
 
Achana na mtu mjinga ambaye anataka mawazo yake ndo uandike jamiiforum. Ni ujinga kusapoti upuuzi wa viongozi waliopita kuongoza hii nchi ukiachilia mbali baba wa Taifa ambaye alilipenda Taifa lake kuliko hata familia yake. Tembelea mgodi Mkubwa wa Bulyanhulu katika vijiji vinavyozunguka mgodi uone maisha wanayoishi. (Maji hakuna wala miundo mbinu hakuna tangu waingie 1996. Tembelea Uganda uone Mseveni anavyotumia mall zake kupanua uchumi wa nchi yake ambayo haina madini Sudani,Kenya,Congo na Tanzania sasa wamegeuza Kampala kama Dubai sababu ya mazigira rafiki kwa wafanyabiashara. Kagame anapendwa na raia wake kama Watanzania walivyowapenda Nyerere na Kharume. Hivi kama tungekuwa na raisi mfano wa Karume ambaye alianza hadi kiwajengea raia wake makazi bora kwa nyumba za ghorofa pale Michezani na mashambani hii nchi ingekuwa wapi. Hao jamaa wawadaganye wale ambao hawatembei,tushukru tu awamu ya nne imeondoka maana baada ya miaka mitatu mbele tungebaki watupu. Tunachojivunia Watanzania kwa sasa ni Magufuri tu na tumuombee mungu .
 
Hizi ni pumba tupu umeandika. Hakuna democrasia Tz labda demkrasia ya ccm na kuihadaa uma. Mauaji ya wanasiasa yapo kote kote. Uhuru wa kujieza ndo km vile, kufungiwa magazeti, cyber law, kuzuia mikutano ya kisiasa, kuzuia maandamano ya wapinzani, kukatisha kuonesha bunge kwa hiyo hakuna utofauti. Kubadilisha viongozi ni yale yale maana ni wale wale marais waastafu ndo wanaamua ni nani anafuata kwa hiyo ni sawa tu na kutawaliwa na yule wa zamani. Hakuna demokrasia Tanzania acha kujifariji
 

du mzee hilo swali lako utanichonganisha na shemeji yako Preta
 
Aliyekwambia mimi siipendi Tanzania ni nani?. Aliyekwambia mimi sio mtanzania ni nani?. Naipenda nchi sana ndio maana naandika mawazo yangu ndani ya JF nikitegemea yatawagusa watu ili tubadilike kimitazamo, tuachane na dhana za kujiona we are the best, kiasi cha kushindwa kupiga hatua chanya za kimaendeleo.
 
Afadhali wewe yaani mimi nilikarimiwa kama mtoto mchanga, naamshwa napewa chupa ya maziwa, maji moto, tabasamu bashasha, hugs , mi siku zote huimisi rwanda. One thing hata ukipata mwanamke huko love her , but be very strong in heart
 
Afadhali wewe yaani mimi nilikarimiwa kama mtoto mchanga, naamshwa napewa chupa ya maziwa, maji moto, tabasamu bashasha, hugs , mi siku zote huimisi rwanda. One thing hata ukipata mwanamke huko love her , but be very strong in heart
Na mke wang mnyaruanda duu hawa watu wanapiga kazi acha kabixa na mm nitaamia rwanda nawapenda sana awa watu mungu awasaidie vita isitokee tena
 
Hao ni mbwa mwitu ila wanajivalisha ngozi ya kondooo
 
Afadhali wewe yaani mimi nilikarimiwa kama mtoto mchanga, naamshwa napewa chupa ya maziwa, maji moto, tabasamu bashasha, hugs , mi siku zote huimisi rwanda. One thing hata ukipata mwanamke huko love her , but be very strong in heart
Wale wadada wa kule dah acha tu watakuhandle kama mtoto mchanga vile
 
Wale wadada wa kule dah acha tu watakuhandle kama mtoto mchanga vile
Amazing...yaani unadhani wnakuhandle burebure tu...they always have their long term hidden agendas....kalia hivohivo eti wanakuhandle...
 
Tatizo sio wanyarwanda bali ni wanasiasa wa rwanda; wananchi wenyewe ni wakarimu sana kwa asilimia kubwa waulize wabongo waliojifanya wanyarwanda huko majuu watakwambia akija translator kufanya uhakiki kawaida awawakatai kama wametokea kwao mbele ya wazungu na watanzania wengi sana wamepata makaratasi ya kuishi huko kwa sababu ya msaada wao enough kuonyesha ni jamii ya aina gani.

Anapotokea raisi megalomaniac na kuanza kuwatumia raia wake walio settle sehemu zingine kwa agenda zake ndiye anayewachafulia kwa hivyo tatizo sio wanyarwanda bali kagame, mahasimu wake na siasa zao za majitaka.
 
 
Ndg yng mtoa post huwezi kufananisha Rwanda na Tz interms of everything,politically,socially and economically
Kiufupi kbs,kisiasa Tz ni nchi ya kidemokrasia,inajali uhuru wa wt na mustakbali wa wt,inathamini wt wake,haindeshi nchi kibabe au kidikteta
Socially,wtz ni wakarimu,wacheshi,wanapendana na ni wasaidizi na wana huruma sana,ni watz wachache sana hasa wanaotoka mara ndo wengi wao wana tabia mby na wakatili
Economically,Tz ni nchi kubwa sana na ina wt wengi,kuwahudumia hawa wt wote ni kz kubwa lkn nchi yetu inajitahidi ninaamini with time mambo yatakuwa sawa,infrastructure zimekuwa improved,uchumi wetu tunatumia vyetu hatupori kwa wt km wafanyavyo Rwanda,Tz c majizi
 
Mkuu unaelewa vzr maana ya Democrasia? vipi kuhusu znz
 
Amazing...yaani unadhani wnakuhandle burebure tu...they always have their long term hidden agendas....kalia hivohivo eti wanakuhandle...
Hiyo long term yake weka juu longterm agenda yako, unakula raha. Furahia kitu laini ukiwa hai
 
Maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa Ccm bado inaendelea kutangazwa imeshinda kwenye chaguzi
 
Maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa Ccm bado inaendelea kutangazwa imeshinda kwenye chaguzi
Maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa Ccm bado inaendelea kutangazwa imeshinda kwenye chaguzi
CCM haitangazwi kushinda uchaguzi, inafika ambapo wapinzani hawafiki. Uchaguzi uliopita kuna maeneo Lowassa alikuwa anashindwa kwenda na ni majimbo mengi tu. Wapinzani walijikita kwenye siasa za instagram, Twitter na Facebook wakasahau kuwa huko vijijini hawajui habari za selfie na internet
 
D


Democrasia ipo tz au unaota na wewe?Haise democrasia sio kubadilisha marais tu hata China inabadilisha marais ila haina democrasia lakini it's pprosperous and developing na Rwanda inaendelea Tz ikiwa stagnant u stupid moron
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…