Umejitahidi sana lakini bado huwezi kudanganya watanzania wanaojua mbinu zenu.
1. Huyo genius wako (sio genious
😛) ndio aliyeanzisha vita mwaka 1990 mpaka 1994, huyo genius wako ndio aliyeua majority ya hao waliokufa 1994, huyo genius wako ndio aliyechinja maelfu ya wahutu mwaka 1995 pale Kibeho ndani ya Rwanda, huyo genius wako ndio aliyesababisha vifo vya watu milioni 6 DRC, huyo genius wako ndie aliyepindua Rwanda, Congo DRC na sasa anataka kupindua Burundi. Kama huyo Kagame ni genius kwako basi sawa. Si tunachojua ni kuwa hata form 6 hajafika....
2. Hivyo viwanja na mengineyo yote kavikuta:
Who brought development in Rwanda?
3. Kagame hana bahati kuwa wanyarwanda sio watu biased. Kagame anatawala kimabavu watu hawamtaki. Na ukome kusema "sisi tuna akili za kipumbavu". Wapumbavu ni nyinyi mnaopigana kila siku kwa sababu ya pua zenu, tuliwapa uraia nchini kwetu toka miaka ya 1960. Watch what you say about us. Tukiamua kuanza upumbavu utajikuta pabaya.
4. "Rwanda itakuwa mbali zaidi yetu" based on what exactly? watu wenu wanakimbia nchi yenu wanakaa maporini kwetu!
Nice try though, hii ID ya ngapi?