Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Simu za sikuhizi ukifanya hivo zinakudai previous account bila hiyo acount ..simu haifunguki
 
Mtaalam umesahau sikuhiz kuna security mpya kweny version kuanzia 5 na kuendelea? Ningeona vyema kama ungewaelekeza namna ya kubypass previously google account that was used to sign in
Ni njema sijaweza kueleza kila kitu ila nikasem mweny tatz auliz
 
Hii njia inaitwa hard reset, nimeifanya sana kuondoa loki za simu ambazo watu wamezisahau.

Tabu inakuwa kwa baadhi ya simu haswa samsung galaxy s7 edge, hii kama ina password haizimiki hata kwa bakora. Itadai password ndiyo izime kama umebonyeza turn off, hapo nilichemka. Na huwezi kufanya hard reset bila kuzima simu, ukute mwenyewe ndiyo kasahau password
 
Ilidai frp this nafanyaje bila kwenda kwenye computa?
 
Kuna i lphone iliokotwa na dereva bodaboda kwenye ajali ina paswad vipi unaweza kuitoa?k/koo imeshindikana lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…