Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
The impeccable u cant criticize, they got ill skills dont you feel these guyz, they bring one hit that they can kill twice
Impeccable
Impeccable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tuna stress za maisha tunatoka ngoma za kuamsha kama acha maneno weka muzikiIla bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
We mwenyewe hapo kwene simu yako una ngoma za kina sholomwamba manfongo na kina shilole.hapa jukwaani unajifanya mgumu*Kasikilize Singeli na viduku
Haki ya Mungu sijawahi kuweka nyimbo ya shilole na wala sina nyimbo za singeli labda bongofleva na RnB Benpal, Diamond, kiba Belle9, Maua sama, Jux maana mimi sio mgumuWe mwenyewe hapo kwene simu yako una ngoma za kina sholomwamba manfongo na kina shilole.hapa jukwaani unajifanya mgumu*
Hawa watoto shule zifunguliwe warudi kusoma.nas na jzee uwafananishe na waimba viduku as marekani kina tyga?huku no kukomaa adabu :Yaaan kayumba mno.nadhani kaanguka kabida.nas na j .z wa kitambo sana.ni sawa na useme humsikii dugu au proffesor j.
Kijana jenga msimamo kwani mahusiano huvunjika. Ngoma inaitwa kivyovyotemilele ntasimama nikidondosha Fasihii ...
Wanabana kwa kuwa nimegoma kuipotosha Jamii .
Hata darasa aliimba, 'washkaji mtaani wanasema mkali solo, ila ukienda dukani anauza mista Oyoyo..'Ila bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
Ile inaitwa miss beautifull, kaimba mapenzi... Ila hatar sana 'Mapenzi sanaa kwake ni master peace, ameniteka mrembo nikatangaza peace, na siwezi toroka hata nikiwa na master key...' Huyu jamaa hatar aisee...kuna ngoma inaitwa African Queen ya moko ni shida
Comment yako nzuriHapa ni kama BIG N TUPAC...
Flow vs mashairi
Mkuu ukipata muda fafanua statement yakoUnajua hawa machalii wanaswaga zile za East Coast wakimwiga zaidi Nas kuanzia delivery, wordplay etc.... kiukweli wana skills kwenye mic lakini wote wana lyrical content mbovu.
Haya maisha ni safari na hili gari ni bovu, hii hali ya hatari na sirikali ina uovu, dereva ni mkali ilihali ni kipofu, ila mwisho ni jeneza ndo mahali pa wokovu, baba sali sana muumba akupe mema acha hali ya kujuana kayumba asome vyema, nasali sana ila sio mwenye dhambi anione mwema, .....kesho ya jana isiwe kesho ya leo, maisha yamekua mchezo na uwezo ni matokeo, mzazi mjali mkeo sio kimeo, kesho itafika vp hili taifa likifa leo.."Maisha yangu yana ubora mwenzangu ana ubora gani hata nikiwa bora nani atakuwa bora nami sina roho ya upinzani nina roho ya ushindani..mwenyezi anibarikie kesho bora yenye amani" one the incredible (Kesho Yetu)