davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,213
No namanisha ni noma hata cjamuwaza roma bdoulitaka kusema Roma au noma? mi naona noma kumtaja Roma kwe hizi mangoma,misifa kedekede kwa michano ye ni sinema bongo muvis drama....anhaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No namanisha ni noma hata cjamuwaza roma bdoulitaka kusema Roma au noma? mi naona noma kumtaja Roma kwe hizi mangoma,misifa kedekede kwa michano ye ni sinema bongo muvis drama....anhaaa
kichwa panz hujui kituHao jamaa huwa nasikia hapa JF tu..
sio bongo hadi stateIla bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
Immortal techniques...Talib kwelHapo kwa Jay Z na Nas umeyumba mkuu... Ali nakubali.
Yeah na watu kama akina Aesop Rock, Sage Francis, Illogic, Eyedea(RIP), Chino xl, MF DOOM (The most underrated emcee), Jeru, Black thought... EtcImmortal techniques...Talib kwel
Dr Octagon wa Bongo.Nash mc
Mzimu wa Shaban Robert, Mchochezi, Chizi kiujumla jamaa nae mkali sana ngoma zake anatumia kiswahili bila ku hanganya na lugha yoyote (KINASA)Nash mc
Nipo bwana. Nasikiliza ngumu hapa [emoji3]faru john unatafutwa sana ww..kumbe umejificha huku[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hata mbishi anakaa tu One sio mtu wa mchezostereo kapakatwa!
Battle ingenoga zaid
One vs Mbishi
Mbishi sio wa kawaida mkuu!Hata mbishi anakaa tu One sio mtu wa mchezo
wewe unadhani unapenda kumbe ndo unachunwaKuna ile ngoma inaitwa Hisia, kuna Niki mbishi, One, songa, Sterio na Suma mnazaleti... Hatariii
Sizungumzi na mwana, nazungumza na mzazi, huu uzungu wa kuuzana kama ruzuku ya jambazi, kumbuka, wema watoto wakwepe mkosi, baba ana nyumba ndogo kigezo kubwa haitoshi, anazuga anakupa support, yuda eskariot, pochi inashinda kwa mchumba bi mkubwa ale karoti, ona vijana wanakosa malezi kisa mama hana uwezo baba yupo kwa mpenzi lisa, ama baba hana uwezo na mama haiwezi shida, ezi zimepita kisa ana mpenzi wa kumridhisha, kumbuka haya maisha safari, pole kwetu waliokufa wamemaliza tayari, wasifu was sifa sio sifa jijari, njoo upate maarifa hii taarifa ya habari, Ona watoto wanaomba wanakosa wana njaa kwa sababu wazazi wameponzwa na tamaa, hili janga la jamii sio janga la jamaa, binti mwenye kilanga kalamba dume la mtaa, hii ni kwako wewe rafiki yangu jihami kama huwezi kuwa mwema siwezi kuwa jirani, sina imani nawe usiwe na imani nami, kama sote ni wanyama mi ni simba we ni nyani, ....wewe unadhani unapenda kumbe ndo unachunwa
we unadhani unapanda kumbe ndo unavunwa
.....
ile ngoma kali sana ilikuwa aifanye mbishi peke yake umeme ukazingua kesho wenzake kusikia beat wakaipenda kila mtu akataka atupie verse.. duke kakubari