oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 396
Kuna ile ngoma inaitwa Hisia, kuna Niki mbishi, One, songa, Sterio na Suma mnazaleti... HatariiiHapa UNO, SONGA,STEREO then umekute na MBISHI.....hatari na nusu.....
Jua linapiga kichwan kwa utosi hatua kwa hatua kitaan tunaforceHaya maisha ni safari na hili gari ni bovu, hii hali ya hatari na sirikali ina uovu, dereva ni mkali ilihali ni kipofu, ila mwisho ni jeneza ndo mahali pa wokovu, baba sali sana muumba akupe mema acha hali ya kujuana kayumba asome vyema, nasali sana ila sio mwenye dhambi anione mwema, .....kesho ya jana isiwe kesho ya leo, maisha yamekua mchezo na uwezo ni matokeo, mzazi mjali mkeo sio kimeo, kesho itafika vp hili taifa likifa leo..
Aight mkuuMkuu ukipata muda fafanua statement yako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115]!kasikilize singeli hii ni Intelligent movement!
Zako singeli [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Hao jamaa huwa nasikia hapa JF tu..
faru john unatafutwa sana ww..kumbe umejificha huku[emoji1] [emoji1] [emoji1]...Unapovunjwa Moyo Unaujenga Tena ... na Usiweke Chuki iache iondoke na iende Vyema... - One. Huyu jamaa mkali.
Hili goma hatari halinaga chorus etAisee nikisikilizaga Debut ya one.....huwa nampaga salute sana!
Daa jamaa ntumie you ngoma asee au nambie kuna akee man...Unapovunjwa Moyo Unaujenga Tena ... na Usiweke Chuki iache iondoke na iende Vyema... - One. Huyu jamaa mkali.
Na songa hawa jamaa nyimbo zao zina ujumbe balaamoko ni kichwa cha peni asee
Afu kuna P the mc mazee
Huyu jamaa naye anaandika sana asee
Umeeleweka mkuu ila jamaa wetu wanajitahdi sana mi nnakubali hizi mtu nne tuAight mkuu
nilicho maanisha ni kwamba hawa jamaa wanawaiga newyokers (note that :Westcoast rap except watu kama D. O. C, Korupt wa Dogg pound, southern rap except Andre 3K..hawana skills sana wakiwa na kipaza) ... Na inspiration yao inaonekana ni ile album ya Nas Illimatic. Ambayo kuna guest appearance ya mtu kama AZ nk. Ukiisikiliza hii album utangundua Uwepo wa multisyllablic rhymes, na matumizi mengi ya punchlines, metaphors, simile, personification, double entendre etc kama ni mpenzi wa poetry hii kitu itakua sio ngeni kwako.
Kwa hiyo hawa jamaa ndio wanako pita especially Nikki mbishi, Moko na stereo ambaye anajaribu kubadilika badilika...
Huku SONGA akimwiga sana MastaAce.
Nilivyo sema hawana lyrical content nzuri ila wanawingi wa wordplay nilimaanisha maudhui ya nyimbo zao ni wa kawaida hawana conscious messages kwenye tungo zao . Japo nyimbo zenye tungo conscious wanazo. Wanafanya aina ya rap iitwayo braggadocio, they're all about bragging...Hii kitu imefanywa na marapa wa New York. Wengi wamekua wakiitumia specifically B.I.G, NAS, HOV, KOOL G RAP, Raekwon wa Wu tang clan(ambaye anafanya Mafioso rap pia) etc. [hao jamaa niliowataja hapo ni maemcee bora sana, wanaskills lakini jiulize why Pac is considered greater than all of them despite the fact that skills wise alikua inferior kwa hao jamaa!?!? ]
Hope nimekupa kamwanga kidogo...nimejaribu kusummarize kiaina.
Nackia jamaa bdo anapiga kitabu alf ana ung'eng'e hatarHawa wote ni mamc wakali sana ila one sio wa kumshindanisha na stereo, me nazani one anatakiwa kusimama na mamc kama nikki mbishi na fid q, sema tu one hajajikita sana kwenye muziki kama ilivo kwa nikki na fid q hawa wamekuwa wanakitoa nyimbo mara kwa mara, nakumbuka fid mwenyewe alishawahi kusema kuwa one sio mtu wa kawaida ni genius kwa kuangalia utunzi wake na flow
Ukiweka hzo technic unabadili radha utaanza kua kama kina darasa,young killer, so uhalisia utapoteaSio bongo tu...hata
Kenya...watu kama kina khaligraph..oxido.. unawasikia kwa mbali.
Ukienda south...Rick ricky..L- tido.. casper.hawaskiki kama jamaa aka
Njoo state..brother ali..nas..Jay Z mwenyewe hasikiki kama drake na kina tyga...
Haya Cameron anasikika Stanley...
Ila mziki sio Ukali wa mistari tu brother kuna technik kibao za kuteka soko
watoto wa mama wa mama kwenye hii sred huwez waona,wao kila day wanapenda ngoma za kukata mauno,michano ngoma za lunduno wao kwao minuno,minuno kwa michano vicheko kwa mauno, anhaaa yoo yooh anhaaNani mkali wa flow kati ya hawa A-list MCs in bongo
Nimepata kitu...Aight mkuu
nilicho maanisha ni kwamba hawa jamaa wanawaiga newyokers (note that :Westcoast rap except watu kama D. O. C, Korupt wa Dogg pound, southern rap except Andre 3K..hawana skills sana wakiwa na kipaza) ... Na inspiration yao inaonekana ni ile album ya Nas Illimatic. Ambayo kuna guest appearance ya mtu kama AZ nk. Ukiisikiliza hii album utangundua Uwepo wa multisyllablic rhymes, na matumizi mengi ya punchlines, metaphors, simile, personification, double entendre etc kama ni mpenzi wa poetry hii kitu itakua sio ngeni kwako.
Kwa hiyo hawa jamaa ndio wanako pita especially Nikki mbishi, Moko na stereo ambaye anajaribu kubadilika badilika...
Huku SONGA akimwiga sana MastaAce.
Nilivyo sema hawana lyrical content nzuri ila wanawingi wa wordplay nilimaanisha maudhui ya nyimbo zao ni wa kawaida hawana conscious messages kwenye tungo zao . Japo nyimbo zenye tungo conscious wanazo. Wanafanya aina ya rap iitwayo braggadocio, they're all about bragging...Hii kitu imefanywa na marapa wa New York. Wengi wamekua wakiitumia specifically B.I.G, NAS, HOV, KOOL G RAP, Raekwon wa Wu tang clan(ambaye anafanya Mafioso rap pia) etc. [hao jamaa niliowataja hapo ni maemcee bora sana, wanaskills lakini jiulize why Pac is considered greater than all of them despite the fact that skills wise alikua inferior kwa hao jamaa!?!? ]
Hope nimekupa kamwanga kidogo...nimejaribu kusummarize kiaina.
ulitaka kusema Roma au noma? mi naona noma kumtaja Roma kwe hizi mangoma,misifa kedekede kwa michano ye ni sinema bongo muvis drama....anhaaaUmeeleweka mkuu ila jamaa wetu wanajitahdi sana mi nnakubali hizi mtu nne tu
Nikki mbishi
Songa
P the mc
One the incrediable
noma