Yap Stereo anaflow kali ila kwa ujumla One ni betterKwa michango hii naona one kaonekana ndo mkali zaid ila kwa upande wng stereo ndo mkali wa flow
Masela ! kambi sisaliti siasi/Star umefungwa na lini utatoka jela na umekufa kwenye trella kwenye movie zakina mlela