One incredible vs stereo

One incredible vs stereo

Kwa michango hii naona one kaonekana ndo mkali zaid ila kwa upande wng stereo ndo mkali wa flow
 
Stereo na one da incredible wapo poa, sema swaga zinatofautiana. Si unajua stereo ana style yake na "one" pia ana style yake but all in all they are good.
 
Star umefungwa na lini utatoka jela na umekufa kwenye trella kwenye movie zakina mlela
 
Star umefungwa na lini utatoka jela na umekufa kwenye trella kwenye movie zakina mlela
Masela ! kambi sisaliti siasi/
Nawahasi nakula nyasi kama mnyama farasi/
Sina wasi me nachana we unadance/
Bila wasi hii nafanya me nna chanya we una hasi/

Bado unafugwa kama kuku mwenye mdondo/
Verse kubwa na imekazwa kama buti ka msela nondo/
Me sisajiliwi nkicheza nacheza ndondo/
Sifagiliwi kitambo kama mgambo mtaa wa congo/

Niendelee ama nisiendeleeeee....
 
Mie simjui mkali ila kuna ngoma kali..
1.Kijusi
2.Sauti ya Jogoo
3.Hisia
 
Back
Top Bottom