One Night Stand

One Night Stand

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,439
Reaction score
1,738
Wana JF Habari zenu?

Hivi hili swala la One Night Stand Mnalichukuliaje?
 
Wana JF Habari zenu?

Hivi hili swala la One Night Stand Mnalichukuliaje?

How do you first see it, kila mtu ana mtazamo wake,
Ngoja kwanza na-declare interest, I have had one, It was just cool, I was just curious bout it. After that kila mtu na njia yake.
Haya sema how do you view 'one night stands?'
 
safi sana ila hakikisha kuwa huyo mtu hutamuona tena maishani mwako...hapo ndio inapokuwa mwake.
 
Safiiiiiiiii..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
i think one night stand = socializing, doing things together, enjoying life, satisfying each other for every thing one is in need for that night and saying byeee to each other in the morning.
 
How do you first see it, kila mtu ana mtazamo wake,
Ngoja kwanza na-declare interest, I have had one, It was just cool, I was just curious bout it. After that kila mtu na njia yake.
Haya sema how do you view 'one night stands?'

Mi naliona kama jambo la kawaida, but never tried one, i just want to try it one day
 
Mi naliona kama jambo la kawaida, but never tried one, i just want to try it one day

It can be cool or total turn off. . .u never know what comes out of the gates. . .hahaha. . .uwe ni mtu curious wa kupenda extreme suprises.
 
gud for busy people,, u meet have few drinks, sleep together zen in the morning u don't ask even the name of your bedmate, just a casual gudbye.
 
Wana JF Habari zenu?

Hivi hili swala la One Night Stand Mnalichukuliaje?

Binafsi kwa kweli sioni tatizo lolote kwani one night stand ni makubaliano tu kati ya wenye nyege. Unajuwa kuna watu wengine hawapendi kabisa kuwa na mtu as a boy friend au girl friend kwani hawajisikii huru kabisa kuwa answerable to somebody. Na pia kwa wale walio kwenye ndoa kuna wakati unafika hata kumgusa mwenzio hujisikii ila inabidi tu kwa kuwa ni mwenza wako. Sasa watu kama hawa wanaposhikwa na nyege solution ni hiyo one night stand. Kwa experience yangu sidhani kama kweli kuna binadamu asiyeota ndoto ya kufanya mapenzi na rafiki wa mwenza wake au hata jirani yake, dada ama kaka wa rafiki yake. Sote twafahamu kuwa nyege haina adabu, na kama mshikwa nyege anapata offer kwa maelewano kwamba baada ya kula ama kuliwa kusiwe tena na mahusiano shida iko wapi hapa? Tumepewa zana ili tule na kuliwa, basi sharti tulane kwa makini si kwa mapapara na kujiletea maradhi. Nani anataka nimle kwa makubaliano hapa JF?
 
Usiogope na kupendezewa na mapigo ya nje, jaribu tu....kuna raha yake asikudanganye mtu. Umepewa ili nawe uwagawie wenzako. Mimi mbona niko tayari kukupa kama unataka. Usione haibu kwani tumeumbwa na kupewa zana ili tugawane. Si unakumbuka tuliambiwa kwenye vitabu kuwa tusiwe wachoyo? Basi we nipe tu nami nikupe!
 
i think one night stand = socializing, doing things together, enjoying life, satisfying each other for every thing one is in need for that night and saying byeee to each other in the morning.

Sawa, lakini wakati mwingine one stand ina madhara yake hasa pale unapokuwa bwiiiii, then unapata lidemu la hajabu hata kuliangalia usoni asubuhi uamkapo unashindwa jinsi anavyotisha, utamuagaje? Mtu si unatoka nduki huku ukilia na kujisikitikia? Sasa hapa ndipo patamu zaidi maana unajikuta unawahi kwenda nyumbani mapema wakati si kawaida yako, mke akikuita unaitikia kwa heshima na adabu. Kisha unajifanya unataka kuogesha watoto na kupika, then unapiga deki chooni. Asubuhi ukiamka unavaa kanga na kufagia uwani kabla ya kwenda kazini then unajifanya unamuonea sana huruma mkeo kwa kazi nyingi anazofanya nyumbani wakati wewe ukiwa na mijimama sura kama midume. Hatari hii? Mimi sina chuki na one stand, ila sitoki na demu sura kama yangu inabidi huyo demu awe mzuri shinda mke wangu ama sawa hapa ndipo one night stand inaponoga maana mtu unapiga huku ukichekea bafuni na kuita malaika.
 
Back
Top Bottom