One six aachana na muziki wa kidunia

One six aachana na muziki wa kidunia

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili.

Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi amekutana navyo ili kumkatiza tamaa.

kwa sasa one six ataimba nyimbo za injili pekee wala hatajihusisha na nyimbo za kidunia
 
Sanaaa,anapiga makolasi makali sana.Ile ngoma ya Daddy ya Profesa Jay na Stamina jamaa kaimba sn
Yupo fresh sana sema ni kama vile kwenye anga za sanaa hiyo hapati faida.
Ila kwa sasa huko anahisi atavuna zaidi
 
Huyu mwamba anajua sanaaa! Kila la heri kwake.
 
Back
Top Bottom