One six aachana na muziki wa kidunia

One six aachana na muziki wa kidunia

Mbona wanasema kwenye nyimbo za dini ndio kuna figisu zaidi. Kuna mmoja alikuwa analalamika huko hata wasanii hawashirikiani.
 
Mbona wanasema kwenye nyimbo za dini ndio kuna figisu zaidi. Kuna mmoja alikuwa analalamika huko hata wasanii hawashirikiani.
Ngoja akaangalie upepo na huko atakuja kutoa mrejesho.
Mimi kazi yangu ni kuwajuza
 
Ngoja akaangalie upepo na huko atakuja kutoa mrejesho.
Mimi kazi yangu ni kuwajuza
Kwani kumbe kilichomsukuma kwenda huko si imani na bali baada ya kuona huku game imemshinda ndo anabadili upepo wa huko si ndio
 
Kwani kumbe kilichomsukuma kwenda huko si imani na bali baada ya kuona huku game imemshinda ndo anabadili upepo wa huko si ndio
Yeye kitu kikubwa ni mkwanja japo na imani kwa mbali
 
Moja ya chorus zake kali sana
 
Attachments

  • 60a16038fb6c4f0aacfe1234ee26c94f.mp4
    2.5 MB
Fundi wa chorus huyo....utatamani verse iishe umsikie yeye.

anahusisha hisia sana kwenye kazi zake.
Jamaa yupo vizuri sema alisema alikuwa hapati faida kwenye kazi hiyo
 
Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili.

Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi amekutana navyo ili kumkatiza tamaa.

kwa sasa one six ataimba nyimbo za injili pekee wala hatajihusisha na nyimbo za kidunia
Huyo wanamjua chanika tu[emoji16]
 
Back
Top Bottom