One six aachana na muziki wa kidunia

Stamina atasikitika maana One Six amevunja sana kwenye track za Stamina. Hii game ina vikwazo sana. Ukisikiliza story za watu kama kina Joh Makini walipotokea mpaka walipo sasa, inahitaji kukaza moyo. Si unaona mpaka leo mtu kama Jose Mtambo mzee wa Kigambonino yupo level ile ile ingawa ni msanii wa tangu siku nyingi!
 
Kweli huenda One six amechukua maamuzi hayo huku akiwa na hasira ya kitu fulani.
Ila akitulia atatoboa vyema sana
 
Ile chorus kwenye anaitwa roma[emoji1695][emoji1695][emoji1695]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…