One stop business center ya Ubungo ikijengwa itaua Kariakoo na kubadilisha mfumo mzima wa biashara Kwa Tanzania na nchi jirani

One stop business center ya Ubungo ikijengwa itaua Kariakoo na kubadilisha mfumo mzima wa biashara Kwa Tanzania na nchi jirani

Wan
Meona wafanya biashara wa kariakoo mnawasikiliza sana Chadema.
Sasa wanashusha Mchina jikoni nyumbani mtakoma.
Nchi hujengwa na Wananchi,
Tanzania itajengwa na wa-Tanzania wenyewe, na China imejengwa na wa-China. Serikali ya Tanzania isitegemee kamwe kwamba wa-China watakuja Tanzania kwa ajili ya kuijenga Tanzania, hilo halitawezekana.

Watawala wanatakiwa Wawaheshimu sana Raia wa Tanzania, wawaheshimu sana wafanyabiashara wa Tanzania kwani hao ndio tumaini pekee lililopo la kuweza kuijenga nchi hii ya Tanzania. Wasitarajie kwamba Raia kutoka nchi nyingine watakuja kuijenga Tanzania, KAMWE haitawezekana. Never!
 
Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
Uoga ndio umasikini aisee! Katika maisha changamoto hazikwepeki, bali changamoto ni fursa ya kujitafakari na kujidhatiti kuendana na changamoto/ushindani uliopo. And by the way, kila mazingira yana radha ambayo huleta aina ya watu fulani. Awali ilihofiwa Karume kudhoofisha Kariakoo lakini nadhani unaona, vyote vinaenda sambamba. Hatukai kwamba, katika hatua za awali inaweza leta changamoto lakini haimaanishi kwamba, Kko itajifia as u are anticipating. Huwezi acha kupika pilau simply kwa kuwa jirani amepika ugali tembele.
 
Screenshot_20240904-081323_2.jpg
Itachuana na Mlimani City kwa karibu
 
Hii itapunguza utapeli na ujanja ujnja wa wafanyabishara wezi, safari za China zitapungua na bei halisi ndio tutakazo uziwa sio hizi za kubambikiwa
 
Kariakoo inahitaji compliments kutokana na kukua kwa idadi ya watu, teknolojia na uchumi.
 
Back
Top Bottom