mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni Ndoto za alinacha!Tanzania itakuwa nusu ya Dubai
WanNi kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
Nchi hujengwa na Wananchi,Wan
Meona wafanya biashara wa kariakoo mnawasikiliza sana Chadema.
Sasa wanashusha Mchina jikoni nyumbani mtakoma.
Uoga ndio umasikini aisee! Katika maisha changamoto hazikwepeki, bali changamoto ni fursa ya kujitafakari na kujidhatiti kuendana na changamoto/ushindani uliopo. And by the way, kila mazingira yana radha ambayo huleta aina ya watu fulani. Awali ilihofiwa Karume kudhoofisha Kariakoo lakini nadhani unaona, vyote vinaenda sambamba. Hatukai kwamba, katika hatua za awali inaweza leta changamoto lakini haimaanishi kwamba, Kko itajifia as u are anticipating. Huwezi acha kupika pilau simply kwa kuwa jirani amepika ugali tembele.Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
Kweli kweli!!Kariakoo haitakufa ila patern ya biashara ya Jumla. Itakufa kariakoo na safari za china zitakufa kwa kiasi.
Watu wataenda kufunga mzingo ubungo na kugeuka.
Pia ni fursa kwa watu wa mikoani .Hii itapunguza utapeli na ujanja ujnja wa wafanyabishara wezi, safari za China zitapungua na bei halisi ndio tutakazo uziwa sio hizi za kubambikiwa
Kariakoo haifi kirahisi hivyo.Ni kweli serikali wapo serous na hili au stori, ikiwa ni kweli Tanzania itakuwa nusu ya Dubai wachina wanajua sana biashara,tuombe serikali iwe serious
Na uchawi wake woteHapana kabisa Kariakoo itabaki kuwa Kariakoo na utukufu wake wote