kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Ujinga ni bahari kubwa na tunaendelea kuogelea bila boya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kweli vilekuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.
pool africa
no boya tu tena diktetaHuyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Huwa tunaoneana sisi kwa sisi pia africa tunasahau kitu kimoja vita vyetu sisi havitakiwi kuwa sisi kwa sisi Ni sisi dhidi ya wao💪Huyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Sababu tunazo mkuu za kumchukia...Naona wadau mnamchukia huyu dogo bila sababu
Baadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenuHuyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Embu ziweke hapa tuzijadiliSababu tunazo mkuu za kumchukia...
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisaNaona wadau mnamchukia huyu dogo bila sababu
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombeBaadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akuongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
Working hard vs working smartkuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.
pool africa
Akipenda kuvaa gwanda pia.Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
kutumia neno Afrika kama sehemu ya uzalendo wala si vibaya ila ubaya utakuja pale tu atapoanza kuuzulia vikao na bunduki kiunoniWatanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa
Hawa jamaa wananishangaza, yaani westerners wanamgwaya huyu kamanda halafu dogo mmoja anayeishi kwa shemeji anamuona boyaWatanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa