Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Boya wewe. Kwa umri alionao na nafasi aliyoshika, ni ishara kwamba jamaa ni kichwa. Angalia anavyoweka misingi ya maendeleo ya nchi.
Huyo dogo hajielewi, yaani kwa umri ule afanye mapinduzi na mpaka leo yuko madarakani halafu anamuita boya wakati hapo alipo hata akiambiwa aandamane kupinga bei ya umeme na sukari kuwa juu hawezi. Hovyo kabisa
 
Kwani kutokukaa na bunduki mbele ya Putin imekubadilishia nini? Nyuzi nyingi humu za kumhusu Traore ni zile za kichuki chuki. Lakini kama mlifuatilia yaliyokuwa yanaendelea Bukinafaso ilikuwa sahihi kufanya mapinduzi
kutokuwa na bunduki mbele ya Vladimir putin kwangu mimi nimeona udhaifu mkubwaa sana mkuu sijuhi kwako
 
Kwenye mkutano wa Russia na African countries, Russia ilimhakikishia usalama that's why. But akiwa Africa anatembea na kifo behind, anytime chochote chaweza kutokea. Remember Thomas Sankara
 
Kapunguza mishahara ya wabunge na mawaziri, kaanzisha kiwanda cha kusindika mboga na hakikuwahi kuwepo, kununua trekta zaidi ya 400 na kusambaza Nchi nzima bure kusaidia kilimo ni mambo madogo hayo?
unajua kwanini serikali za africa huwa zinawapunguzia wabunge mishara 🤣🤣🤣🤣

ila kwa matrekta ni sawa jambo zuri sana
 
Hawa makapteni wetu sijui wenyew wanakwama wapi, kuliko ma ccm na mama yao bora kutawaliwa na wajeda!.
Sasa hao wajeda wenyewe wana kadi za sisiem na vijana siku hizi wanaingia huko kwa connection za sisiem, unategemea maajabu gani mkuu?
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Kama viongoz waliopo madarakan hawajitambui, wanatumia rasilimali za nchi vibaya Kwa manufaa Yao huku raia wakiendelea kuteseka kwann wasipinduliwe. Acha kuwa na akili za fisiem
 
Kama viongoz waliopo madarakan hawajitambui, wanatumia rasilimali za nchi vibaya Kwa manufaa Yao huku raia wakiendelea kuteseka kwann wasipinduliwe. Acha kuwa na akili za fisiem
mtu wa akiwa na itikadi yeyote ni sawa tu ila jambo ni ili tukiwa kama waafrika atupaswi kutishana na mabunduki mchana kweupe🤣🤣🤣🤣
 
Kwenye mkutano wa Russia na African countries, Russia ilimhakikishia usalama that's why. But akiwa Africa anatembea na kifo behind, anytime chochote chaweza kutokea. Remember Thomas Sankara
Mimi naona ni mbwembwe tu za mwanadamu.

Hivi akilengwa na sniper kama ilivyokuwa kwa Trump hiyo bastola itamsaidia chochote? Yaani mfano Trump angekuwa na mguu wa kuku siku ile ungemsaidia nini, si angegalagala nao tu kama shabaha isingekosewa.

Binafsi naona ni kaushamba fulani tu hasa kuuonesha waziwazi. Mwenzie jiwe alikuwa anauficha kwenye boxer.
 
sasa hiyo inawezekanaje ukija kwa raisi wangu zanzibar unaenda na bunduki kiunoni halafu hapo hapo ukienda kwa putin unaenda na gwanda zako tu ?
Nakujibu hoja ya bunduki, huyo aliyekutana nae sio mamluki ni mtu ambaye anamuhitaji wapige kazi, alihakikishiwa usalama wake,
Viongozi wa Africa wote ni vibaraka wa wazungu, hawakawii kukugeuka in a second, hii ipo tangu enzi za ukoloni ni viongozi wa wakati huo ndio waliowauza raia, kwa hiyo anahitaji kujilinda zaidi akiwa Nchini kwake na Africa kwa ujumla kuliko akiwa na mtu kama Putin ambaye sie adui wake,

Una lingine labda.......
 
Back
Top Bottom