Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Suala la umeingiaje kazini si hoja, Kuvaa uniform za kazi yako kila sehemu ni ujinga.Ebu tuangalie asili ya raisi mwenyewe,ni mwanajeshi na ameingia madarakani kwa mapinduzi ,lau angekuwa ameingia kwa uchaguzi halali hapo ungekuwa na point
Bado ni mwanajeshi ambaye ameshikilia nafasi ya uraisi
Nikakuulize, wewe ni Trafiki, umelazimisha ukapewa uenyekiti wa kamati ya harusi, utavaa uniform siku ya harusi sababu kiasili wewe ni Tafriki?