Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Hahah jamaa ni kama identity yake na nina uhakika ile bunduki pale siku ile ilikua haina risasi ila kwa ajili ya show off kama wale wanajeshi siku ya Uhuru wakipita na mabunduki makubwa ila hazina risasi ni kwa ajili ya maonesho.
bunduki ile iwe haina kitu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣

unacheza wewe
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Wanatumia sana hao watu wasio na uwezo kuficha madhaifu Yao.

Mara nyingi Huwa wana maneno mengi sana ya mipasho,kutiana Tiana moyo kukimwambafy na blaa blaa zingine
 
Baadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
Mtu wa maana kabisa huyo
 
Kawasema vibaya for nothing or for reasons ukilijua Hilo ndio utajuwa kwann jamaa anapewa maua yake
definitely for reasons! wakoloni, walitunyonya na bado wanaendelea kutunyonya, siwataki, wasije kwangu, fukuza majeshi ya ufaransa.........and so many others of the like! Sasa hayondiyo ushujaa? amefanikisha nini? la kuwasaiia masikini wake?
 
Hauna tofauti.
Kwa hii hoja yako daktari akipewa nchi azunguke na mabarakoa yake.

Sio amiri jeshi mkuu tu.

Ni mwajiri mkuu wa utumishi
Ni mkuu wa wizara zote kuanzia afya mpaka michezo

Na ndio maana sio kila sehemu anatakiwa awe na taswira ya kijeshi, kwani uraisi si jeshi tu.
Je serikali hii ni ya kiraia au ya kijeshi,tuanzie hapa kwanza
 
Watanzania nao wame mbrand Sana huyu jamaa. Watanzania kwa vitu visivyokua na faida tupo vzri
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Na Museveni na je Kagame vipi wameishia wapi nao?
 
Je serikali hii ni ya kiraia au ya kijeshi,tuanzie hapa kwanza
serikali ya kijeshi inasema popote atakapokuwa raisi hata kwenye masuala yasiyo ya kijeshi awe amevaa uniform?
 
Ukishakuwa kiongozi wa nchi unavaa uanasiasa. Narudia, kuvaa vaa makombat ya kijeshi kila sehemu ni ujinga hata kama unampenda.
Hii kanuni inatoka ibara ya ngapi ya katiba?
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Kwa hiyo wale wasiosema "Africa, mabeberu na mapebari ndio viongozi bora? wamefanya ni cha maana kwenye taifa hili, niseme tu, Watanzania wengi ni WAJINGA wasiojua ni aina gani ya uongozi na kiongozi anafaa Kwa maslahi yao, ndio maana watawala wenu wanadalalia rasirimali zenu mnabaki kuishi kama kuku wa kienyeji...bahati mbaya sana, hao mnaowasimanga na visiredi vyenu vya kipuuzi ndio walipendwa na kukubalika na kundi kubwa la wananchi.
 
Hii kanuni inatoka ibara ya ngapi ya katiba?
Mkuu, kama unapenda magwanda yake sawa hata yeye huenda anayapenda ndo maana anayavaa kila eneo ila maoni yangu yatabaki kuwa ni ujinga kwa raisi wa nchi kuvaa magwanda kila sehemu bila kujali kanuni inaruhusu au la.
 
They are scientifically called, " populist leaders". They always blackmail as to attract and win the support of an ordinary people at the expense of superficially insubordinate the western world and colonialism as a whole, meanwhile plundering our wealthy and safeguarding their own interests and more so, staying in power timelessly.
As long as there are tangible things and a common mwananchi is happy that's what matters, because other leaders steal from the people and worse more no tangible development for the coommon mwananchi and happiness index score remain at the most bottom reading of the gauge
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Meanwhile jamaa kashalipa made ni yote ya IMF nchi yake haina deni,na kakataa misaada,kwa mda wa two years amekusanya dhahabu ya kutosha wakati anaingia haikuwepo. Mbona wabongo mpo nyuma na habari za dunia?? Is it you ulieandika hapo juu?? Do you know anything kuhusu Thomas Sankara?? Achana na ule upuuzi wa Magufuli kujitafutia misifa.
 
Kwa hiyo wale wasiosema "Africa, mabeberu na mapebari ndio viongozi bora? wamefanya ni cha maana kwenye taifa hili, niseme tu, Watanzania wengi ni WAJINGA wasiojua ni aina gani ya uongozi na kiongozi anafaa Kwa maslahi yao, ndio maana watawala wenu wanadalalia rasirimali zenu mnabaki kuishi kama kuku wa kienyeji...bahati mbaya sana, hao mnaowasimanga na visiredi vyenu vya kipuuzi ndio walipendwa na kukubalika na kundi kubwa la wananchi.
Punguza makasiriko
 
Back
Top Bottom