Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Huwa ni mbwembwe tu, wote wakiwa nje wanakuwa hawana umati mkubwa wa ulinzi au vitendea kazi; kwa sababu kule ugenini wanakuwa tayari wamepewa ulinzi.
Anayesafiri na umati wa ulinzi ni marekani tu, popote pale aendapo duniani. Na hii inatokana na ukubwa wa bajeti; pamoja na ukubwa aliojijengea ki ulimwengu
Anayesafiri na umati wa ulinzi ni marekani tu, popote pale aendapo duniani. Na hii inatokana na ukubwa wa bajeti; pamoja na ukubwa aliojijengea ki ulimwengu