Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Sio bure wewe ulikosa sifa ama uliomba kujiunga jeshi ukakosa nafasi. Gwanda zinakuumiza sana roho ukiona wajuba wazitinga. Pasuka zaidi miamba hiyo hapo chini imekutana na imeazimia kiume maamuzi mazitoView attachment 3217859
Hayo ya kukosa nafasi jeshi ni mawazo yako boss, hayana uhusiano wowote na uhalisia.

Kuhusu maamuzi mazito kwa maslahi ya nchi yao ni jambo safi, maoni yangu yalihusu uvaaji wa uniform kila sehemu si utendaji wa kazi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika
 
Wakati baba yangu anafariki, mama alikua umri wa kati tu 40's, mali zote zilibaki kwake kama msimamizi, na tumezikuta zote intact tena zingine zimeongezeka values.Nilipofunga ndoa, mama yangu alimwambia mke wangu, " Mimi niliolewa hii familia, nimetunza hizi mali zote, na zingine zimeongezeka, ni zamu yako sasa kuzitunza na kuzihamishia kwa atakayefuata".Mama alifariki 2020, tukampumzisha kwa amani kabisa..Na nikiangalia baba yangu alikua mfujaji sana wa pesa na mali, ni type za wale wababa wakienda nje wanatoa na kutumia utafikiri hamna kesho - bila kuwa na mwanamke aliyejua mapungufu ya mpenzi wake na kusimama kidete..tungeteketea..
Wanawake wengine wanaweza simamia mali vizuri tu
 
Je serikali hii ni ya kiraia au ya kijeshi,tuanzie hapa kwanza
Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.

Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.
 
Mazingira yake tofauti na hawa uliowataja,yeye yupo kwenye risk kubwa,kwahiyo muacha awe katika security mode
 
Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.

Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.

Yeye ndiye anayejua mazingira yake na watu wanaomzunguka.
 
Wakati baba yangu anafariki, mama alikua umri wa kati tu 40's, mali zote zilibaki kwake kama msimamizi, na tumezikuta zote intact tena zingine zimeongezeka values.Nilipofunga ndoa, mama yangu alimwambia mke wangu, " Mimi niliolewa hii familia, nimetunza hizi mali zote, na zingine zimeongezeka, ni zamu yako sasa kuzitunza na kuzihamishia kwa atakayefuata".Mama alifariki 2020, tukampumzisha kwa amani kabisa..Na nikiangalia baba yangu alikua mfujaji sana wa pesa na mali, ni type za wale wababa wakienda nje wanatoa na kutumia utafikiri hamna kesho - bila kuwa na mwanamke aliyejua mapungufu ya mpenzi wake na kusimama kidete..tungeteketea..
Wanawake wengine wanaweza simamia mali vizuri tu
Huu ushuhuda wako haufai kwenye vikao vya wanaume peleka huko kwenye dawati la jinsi pumbavu
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Isipokuwa anayezurura na kutembeza bakuli la misaada kwa mataifa mengine kwa kauli mbiu ya chanjo,mabadiliko ya tabia nchi,nishati safi n.k.bila kujua na hata kujali kuwa kuna ajenda gani ya siri nyuma yake....Huyo ndiye kiongozi kwako 🙆🤷
 
Hayo ya kukosa nafasi jeshi ni mawazo yako boss, hayana uhusiano wowote na uhalisia.

Kuhusu maamuzi mazito kwa maslahi ya nchi yao ni jambo safi, maoni yangu yalihusu uvaaji wa uniform kila sehemu si utendaji wa kazi.
Ikumbukwe,Traore ni Askari [Mwanajeshi]na sio mwana siasa,utawala wake ni wa kijeshi na wakati , hivyo,si jambo la kushangaza akifanya gwanda kuwa vazi lake kuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
very sad , najiuliza kwanini waafrika maboya wanamuona huyu jamaa kama hero? Kisa Kamsema vibaya macron, kaisem vibaya France...... Hilo tu ameshakuwa shujaa! Rubbish!
Hajamsema vibaya, kamwambia fungasha virago na utoke sasa hivi, kuanzia makampuni yako yanayochimba Uranium na jeshi lako liliopo hapa kulinda huu uchimbaji wako, ama sivyo hii ni nchi yangu, na ukikataa kutoka naleta na nafungua kambi ya jeshi la Russia.
Macron kaufya kakusanya na kuondoka.....
Ni bingwa sio tu hero......
 
Urusi kuna usalama ni tofauti na nchi nyingi za Afrika so usishangae jamaa kutobeba mguu wa kuku
 
kuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.

pool africa
Uenda alikudanganya mbona wenye mafanikio makubwa wanaamasisha kaz kwa bidii
 
kuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.

pool africa
Hapo unaongelea kazi za kwenda ofisini kutafuta hela ya kula na familia yako ila sio kwenye mambo ya kijeshi na kiutawala nguvu ni lazima.
 
Back
Top Bottom