Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Mpumbavu atakwambia hata Fidel Castro alikuwa mpumbavu
 
1000021483.png
 
Msela unapiga ubwabwa na maharage au chipsi zege ukiwa wapi ??? Unamkashifu jamaa kapiga coup na kuondosha mamlaka na hatujui ww umeifanyia nini nchi hii . Vijana wa mjini 😂😂😂😂
 
una kaza fuvu au ujaelewa mada ?
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Unamfahamu sheikh Karume? Alifanya mapinduzi ya kuwakomboa wazanzibari dhidi ya utawaala wa kisultani, unamzungumziaje nae? Rudi shule wewe.
 
Back
Top Bottom