Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Nakujibu hoja ya bunduki, huyo aliyekutana nae sio mamluki ni mtu ambaye anamuhitaji wapige kazi, alihakikishiwa usalama wake,
Viongozi wa Africa wote ni vibaraka wa wazungu, hawakawii kukugeuka in a second, hii ipo tangu enzi za ukoloni ni viongozi wa wakati huo ndio waliowauza raia, kwa hiyo anahitaji kujilinda zaidi akiwa Nchini kwake na Africa kwa ujumla kuliko akiwa na mtu kama Putin ambaye sie adui wake,

Una lingine labda.......
Hicho kibastora kiunoni kinazuia mamluki kumdhuru?

Unadhani angejua kuna mamluki na usalama wake mdogo angeenda kisa tu ana kibastora kiunoni? Yani washindwe kutumia MANPADS kudungua ndege, au ATGM au RPG kupiga gari lake, waje karibu yake kumdhuru na walinzi wake washindwe mpaka yeye atumie kibastora chake kujiokoa. Hii ni maajabu.

In case anahitajika kufa, hiyo bastora haina msaada wowote. Wakati anafanya mapinduzi kumuondoa kiongozi wa kijeshi akiyekuwepo, nadhani ni Damiba silaha ya Damiba haikumsaidia kitu.
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
natamani nitukane kaka ila ngoja trump aendelee kukaza mtamkumbuka tu
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Usmsahau pia Karume kati ya walio Fanya mapinduz wakat unawatukana Wana mapinduz
 
Ukipitia comments, utagundua hakika bado Kuna baadhi ya waafrika Wana shida kubwa sana kwenye akili. Badala ya kujifunza kwa kile capt Ibrahim Traore anachofanya kwa nchi yake wao ni porojo tu. Tunavyozungumza Sasa hivi ni kuwa Mali, Burkina Faso na Niger(zote hizi mapinduzi ya kijeshi yamefanyika) zimewasilisha ombi la kujitoa ECOWAS Baada ya Kuona hao ECOWAS ni vibaraka tu.
 
Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika
 
Ukipitia comments, utagundua hakika bado Kuna baadhi ya waafrika Wana shida kubwa sana kwenye akili. Badala ya kujifunza kwa kile capt Ibrahim Traore anachofanya kwa nchi yake wao ni porojo tu. Tunavyozungumza Sasa hivi ni kuwa Mali, Burkina Faso na Niger(zote hizi mapinduzi ya kijeshi yamefanyika) zimewasilisha ombi la kujitoa ECOWAS Baada ya Kuona hao ECOWAS ni vibaraka tu.
Go hard or Go home

shida ndo ipo hapa watu wakitoa mawazo yao kwa huku afrika unaambiwa una shida ya akili 🤣🤣🤣🤣
 
Kwanini utukane?
et kuna mmoja alikuwepo tz, hv unazan haya maajab anayotoa trampo hao watu wako c unaona walvyonywea ila jpm alianza kutengeneza mazngra kabla ya haya. ndo man nataman kutukan mana nahc fkra tunatofautiana.
 
Kwahiyo putin usalama wake kwanza 😂😂 na alivyoenda kule alipoapishwa raisi juzi juzi kulikuwa na marais zaidi ya kumi hao walikuwa hawaitaji usalama 🤣🤣??
Hahah jamaa ni kama identity yake na nina uhakika ile bunduki pale siku ile ilikua haina risasi ila kwa ajili ya show off kama wale wanajeshi siku ya Uhuru wakipita na mabunduki makubwa ila hazina risasi ni kwa ajili ya maonesho.
 
Ukishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Umesanuka mkuu same as wanaopenda kusema mimi ni mwanaume, mimi ni mwanamke, mimi ni tajiri au hata mimi ni jiniasi ujue hamna kitu. Mambo yote yanatakiwa yawe kwa kichwa and then the impacts will express themselves.
 
Back
Top Bottom