Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

kuna jamaa aliwahi kuniambia Ili ufanikiwe, hutakiwi kufanya kazi kwa bidii, sijui ulale usiku sana na uamke mapema, ni lazima kwanza uwe na akili.

pool africa
kajamaa kadogo ni kwamaba huyo aliyokwambia hajakosea, ningependa kusisitiza kuwa mafanikio ni mchakato ambao unajumuisha akili, juhudi na wakati utakaopitia katika ustahamilivu na subira katka uthubutu wako.
 
Kiongozi wa nchi akishavaa vaa makombati ya jeshi maeneo yasiyohitaji huo uvaaji anakuwa hatumii akili.
Putin hajavaa hayo makombati na ni mbabe kumzidi.
 
Wajinga wengi lingine hili hapa. Ibrahim is a soldier not a politician
Ukishakuwa kiongozi wa nchi unavaa uanasiasa. Narudia, kuvaa vaa makombat ya kijeshi kila sehemu ni ujinga hata kama unampenda.
 
Ukishakuwa kiongozi wa nchi unavaa uanasiasa. Narudia, kuvaa vaa makombat ya kijeshi kila sehemu ni ujinga hata kama unampenda.
Kwani yeye si ni mwanajeshi,je hastahili kuvaa hizo nguo?
 
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu

Huwezi kuwa bongo umchukie Rais wa Bukinafaso kama sio uchawe na wivu. Nchi ilijaa ufisadi na mauaji ya wanaoipinga Serikali mpaka alipofanya mapinduzi, je hilo kwako sio muhimu? Mbona hapa Tz mmekuwa mkiomba yatokee mapinduzi kwasababu ya yanayoendelea ya utekaji, mauaji na kukandamiza demokrasia? Je hicho mnachokuombea hapa bongo sindio alichokifanya Bukinafaso?
Inawezekana labda si bora lakini hawezi kuwa mbaya kama wafaransa ambao wanazinyonya zile nchi miaka hadi miaka. Yani utakuta mbongo anamponda kisa kawatimua wafaransa.
 
Kwani yeye si ni mwanajeshi,je hastahili kuvaa hizo nguo?
Unavaa ukiwa kwenye shughuli za kijeshi, sio kila sehemu.
Kwamba daktari avae full uniform barakoa kofia za kichwa kila anapokuwa sababu yeye ni daktari? Au trafiki avae uniform hadi akialikwa kwenye harusi sababu yeye ni trafiki?
 
Binafsi naona tungeangalia prons na cons zilizo tokea baada ya huyu kijana mwenzetu kuingia madarakani. Kama ameweza kukataa mikataba iliyotesa wananchi kwa muda mrefu, kama ameweza kusaidia resources za inchi zisiibiwe na kunufaisha watu wachache na mengineyo basi anastahiki kuungwa mkono na wananchi wa Bukinabe ili kuhakikisha ukoloni mambo leo haukumbatiwi.
 
Unavaa ukiwa kwenye shughuli za kijeshi, sio kila sehemu.
Kwamba daktari avae full uniform barakoa kofia za kichwa kila anapokuwa sababu yeye ni daktari? Au trafiki avae uniform hadi akialikwa kwenye harusi sababu yeye ni trafiki?
Ebu tuangalie asili ya raisi mwenyewe,ni mwanajeshi na ameingia madarakani kwa mapinduzi ,lau angekuwa ameingia kwa uchaguzi halali hapo ungekuwa na point

Bado ni mwanajeshi ambaye ameshikilia nafasi ya uraisi
 
Alipokuwa Ghana alivaa na alionekana
Ila huyu dogo asipoangalia wafaransa wanamlia timing tu au hata hao wa pembeni yake
Tatizo la nchi masikini
Tumemezeshwa na kufanywa kwamba sisi hatuwezi kitu bila msaada wa Muzungu na anapotokea mmoja na kusema tunaweza basi atapigwa vita
 
Back
Top Bottom