Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Huyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Baadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
 
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa
kutumia neno Afrika kama sehemu ya uzalendo wala si vibaya ila ubaya utakuja pale tu atapoanza kuuzulia vikao na bunduki kiunoni
 
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa
Hawa jamaa wananishangaza, yaani westerners wanamgwaya huyu kamanda halafu dogo mmoja anayeishi kwa shemeji anamuona boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…