Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 860
- 1,421
Mpumbavu atakwambia hata Fidel Castro alikuwa mpumbavuKwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Neno mahaba limefata nini hapa mkuu π€£π€£ au ndo james delicisionUna mahaba na ilo neno ndio kwenu mlivyo
Yes ndio mimiNeno mahaba limefata nini hapa mkuu π€£π€£ au ndo james delicision
Ma-Director wa Jamii forum wanafujo πͺ
Fidel Castro alikuwa mpumbavu ndiyo kwani kati ya nchi masikini huko Amerika Cuba inakosekana?Mpumbavu atakwambia hata Fidel Castro alikuwa mpumbavu
una kaza fuvu au ujaelewa mada ?Msela unapiga ubwabwa na maharage au chipsi zege ukiwa wapi ??? Unamkashifu jamaa kapiga coup na kuondosha mamlaka na hatujui ww umeifanyia nini nchi hii . Vijana wa mjini ππππ
Unamfahamu sheikh Karume? Alifanya mapinduzi ya kuwakomboa wazanzibari dhidi ya utawaala wa kisultani, unamzungumziaje nae? Rudi shule wewe.Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe