Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,512
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
 
Mimi sioneshi waziwazi, na principle yangu ni hiyo, yaani hata nipende vipi, mwanamke wangu hawezi jua kiasi nimpendacho haswa, maana sieleweki eleweki, muda wa kujali naonesha kujali kuliko maelezo, kucare nina care kuliko babycare😂, muda wa kubembeleza kuliko MARLAW, kuna muda kama KALAPINA, yaani ye hajui yuko upande upi, anajihisi anapendwa lakini anahisi pia anaweza kuachwa muda wowote na nisipungukiwe kitu.
 
Mimi sioneshi waziwazi, na principle yangu ni hiyo, yaani hata nipende vipi, mwanamke wangu hawezi jua kiasi nimpendacho haswa, maana sieleweki eleweki, muda wa kujali naonesha kujali kuliko maelezo, kucare nina care kuliko babycare😂, muda wa kubembeleza kuliko MARLAW, kuna muda kama KALAPINA, yaani ye hajui yuko upande upi, anajia anapendwa lakini anahisi pia anaweza kuachwa muda wowote na sipungukiwi kitu.
Naomba unipende Mimi
 
Kibabe au sio?
 
Back
Top Bottom