sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Wakina Nani wataleta shida??Sasa nitafanyaje na ameshasema itamletea shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina Nani wataleta shida??Sasa nitafanyaje na ameshasema itamletea shida
Ewaaaaaahhhh🔥🔥🔥Hiyo inaitwa PENZI MIXTURE, yaani mapenzi yote duniani unapata hapa, kuchi kuchi hotae unaoata hapa, penzi la Brazil lipo, penzi la kiniga(amerika) lipo mpaka la wasambaa..
Yaani full mvurugo, tunadekezana akinivuruga namvuruga mara mbili yake, akinidekeza ni anadekezwa mara 2 yake.. yaani penzi 2 times, kasoro kutwangana tu, mie masuala ya kumpiga mwanamke yamenikalia kushoto kabisaaa, ikifika hatua hiyo ni bora aende tu, kuliko kumtwanga.
Nachangamsha kijiwe tu😂😂Wakina Nani wataleta shida??
Marahaba,mie kibabu wacha nisome tu comments,maana kwangu mapenzi na uzee huu yamekolea balaa utafikiri tumeanza jana,mpaka tunaoneana wivu,yani nawaza bibi yenu siku nikimkuta na mchepuko walah kutawaka moto....Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).
Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.
Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.
Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.
Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.
Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.
Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.
Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...
Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
Haya babu /anko
Mbona wengine hiyo assurance ndio inatupea motivation yakuongeza juhudi, kupenda na kujali zaidi??Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo
So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke 📌
Third floor mchezo bro. Nimeanza kuiva role model😁Mdogo angu mbona kama umeanza kuelewa busara zangu, au umeshaniibia manual guide yangu? 😂
Mwenyejiii uko km mie yaani, kiufupiii UNAFIKI hautakiwi ktk Mapenzii.Mbona wengine hiyo assurance ndio inatupea motivation yakuongeza juhudi, kupenda na kujali zaidi??
I hate anything or anyone anaenifanya niwe na wasiwasi. Na mara nyingi ndo huwa ticket yangu yakuendelea na mambo mengine.
apana wacha iende🙌🏾😂😂😂😂😂
Kweli vile inapunguza uchungu
True, options zinakuwa ndogo za kuoneshana lakini pia mnakuwa hamna ile time ya kufikiria machungu ya maisha. So pesa inakupa utulivu flani ambao unafanya mahusiano yoyote kutulia😂😂😂
Penzi bila HeLa halinogi