Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Hii thread ni maalumu Kwa Vijana

Sisi Wazee tulisha maliza kupendana na Bibi zenu tangu Mwaka 47 🤗

Miaka ambapo hakukuwa na smartphone kusema utampigia simu ama kumtumia ujumbe mrefu wa maandishi Instagram kumwambia eti una mpenda ili kuwadorishia watu 😜
 
Mtoa mada yupo sahihi, sana kuna watu hawana affection tu na wanaleta ugumu na kuonekana wameoza penzini. Kama unampenzi mwoneshe kwa vitendo na si maneno. Hii itafanya mahusiano yenu yashamiri. Sasa wewe acha kucare akuache then tuchukue mali
 
𝐔𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐯𝐢𝐩𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐲𝐞𝐦𝐭𝐚𝐣𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐤𝐞 𝐚𝐮 𝐧𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐉𝐅?
 
Babu nimekuelewa
Hukufi babu yangu
Nitakupeleka taratibu najua hali yako
Hahaa... Nyie hamna maana hata kidogo, mkinogewa tu, mkianza kukaribia na mlima kilimanjaro huwa mnataka tuchochee UKUNI tupeleke moto wa kutosha..
"Babu hapo hapo, tia yote, ongeza spidi, ahsante"

Hatimae kikongwe mie naangukia kifuani na kukoroma, 😂

SITAKI
 
🤣🤣🤣🤣 haki vile sitakukimbiza kilimani babu
 
Hii thread ni maalumu Kwa Vijana

Sisi Wazee tulisha maliza kupendana na Bibi zenu tangu Mwaka 47 🤗

Miaka ambapo hakukuwa na smartphone kusema utampigia simu ama kumtumia ujumbe mrefu wa maandishi Instagram kumwambia eti una mpenda ili kuwadorishia watu 😜
Babu jamani si una simu lakini?
Mtumie Bibi meseji yenye hii emoj ❤
Nitakuelekeza taratibu Hadi utahamia digital
 
Ushawahi kusikia zile kauli za

Huyu kwangu hapindui

Aniache Mimi ataenda wapi

Au ushawahi kuona situations mtu yupo free kumuoneshea dharau mpenzi wake consistently, na muda mwingine hadi kucheat wazi wazi bila hofu

Hiyo yote inasababishwa na "assurance"

Na tunapoongelea assurance haimaanishi kutokuwa presence au kuonesha care and love Ila kutomuonesha mtu OBSESSION au STRONG ATTACHMENT. Kwa sababu hivyo ni vitu tofauti na upendo japo kwa mtu anaevifanya huona kama ni upendo Ila kiuhalisia hata anaeupokea huuona kama abnormality flani ambayo inampa uhalali wa kumtesa mwenzie
Trust me...I'm talking about the same thing you are talking about.

I get what you are saying 💯. Ni kweli kwamba kwa kiasi kikubwa watu huwa wanaabuse assurance wanayopewa na wenza wao kwasababu wanaamini huyo mwenza hana pakwenda/kimbilia. Kitu ambacho kinahalalisha watu kutopenda kujimwaga/kuonyesha hisia zao zote kiasi chakumfanya mwenzake ajue anapendwa kufa, and at that moment she/he means everything.

Personally, lack of assurance inafanya niwe very reserved. Siwezi kujitoa kwa asilimia zote 105 kwa mtu ambae nafasi yangu kwenye maisha yake sio ya kipekee, wala sioni sababu yakuwepo kwenye mahusiano hayo. Assurance inafanya nijue nafasi yangu, kujua nafasi yangu ndio kunapelekea niweze kuamua nijitoe kwa kiasi gani, na wakati gani nahitajika zaidi.

Kama sasa hivi...the amount of support I give my dude ili kumrahisishia maisha na kumpunguzia stress is above and beyond. Na hata sioni kama I'm giving too much kwababu assurance ipo, na ikibidi kujazia 90% kwenye 15% zangu nnapohitaji, na yeye anafanya bila hiyana.
 
Back
Top Bottom