Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Mimi sioneshi waziwazi, na principle yangu ni hiyo, yaani hata nipende vipi, mwanamke wangu hawezi jua kiasi nimpendacho haswa, maana sieleweki eleweki, muda wa kujali naonesha kujali kuliko maelezo, kucare nina care kuliko babycare😂, muda wa kubembeleza kuliko MARLAW, kuna muda kama KALAPINA, yaani ye hajui yuko upande upi, anajihisi anapendwa lakini anahisi pia anaweza kuachwa muda wowote na sipungukiwi kitu.
Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo

So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke 📌
 
Ni kweli unasemaje huwezi kuishi bila mtu.
Atakuvuruga atakavyo
 
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
Naamini bado upo level ya sekondari ndiyo maana umedata na huyo mchizi wako ambaye hana majukumu yoyote zaidi ya kupewa matumizi na wazazi then anakupasishia japo buku mbili.

Ukikuwa sasa ndiyo utajua uachoongea sasa ni upuuzi mtupu.
 
Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo

So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke 📌
Heshima yako bro 👏
 
Kibabe au sio?
Hiyo inaitwa PENZI MIXTURE, yaani mapenzi yote duniani unapata hapa, kuchi kuchi hotae unaoata hapa, penzi la Brazil lipo, penzi la kiniga(amerika) lipo mpaka la wasambaa..

Yaani full mvurugo, tunadekezana akinivuruga namvuruga mara mbili yake, akinidekeza ni anadekezwa mara 2 yake.. yaani penzi 2 times, kasoro kutwangana tu, mie masuala ya kumpiga mwanamke yamenikalia kushoto kabisaaa, ikifika hatua hiyo ni bora aende tu, kuliko kumtwanga.
 
Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo

So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke 📌
Mdogo angu mbona kama umeanza kuelewa busara zangu, au umeshaniibia manual guide yangu? 😂
 
Back
Top Bottom