Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Bandiko lako linasema ukwelii kabisa, ila mbona ghaflaa sanaa?
Kwan imekuajee? Kimetokea nn? Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wengine hiyo assurance ndio inatupea motivation yakuongeza juhudi, kupenda na kujali zaidi??

I hate anything or anyone anaenifanya niwe na wasiwasi. Na mara nyingi ndo huwa ticket yangu yakuendelea na mambo mengine.

Ushawahi kusikia zile kauli za

Huyu kwangu hapindui

Aniache Mimi ataenda wapi

Au ushawahi kuona situations mtu yupo free kumuoneshea dharau mpenzi wake consistently, na muda mwingine hadi kucheat wazi wazi bila hofu

Hiyo yote inasababishwa na "assurance"

Na tunapoongelea assurance haimaanishi kutokuwa presence au kuonesha care and love Ila kutomuonesha mtu OBSESSION au STRONG ATTACHMENT. Kwa sababu hivyo ni vitu tofauti na upendo japo kwa mtu anaevifanya huona kama ni upendo Ila kiuhalisia hata anaeupokea huuona kama abnormality flani ambayo inampa uhalali wa kumtesa mwenzie
 
Bibi sio kizee, bibi kwa maana mie ni babu yako, hivyo nakuita bibi(mjukuu)

Sasa we mjukuu unanitaka babu yako, si unatafuta murder case, nikufie kifuani mie.😂
Babu nimekuelewa
Hukufi babu yangu
Nitakupeleka taratibu najua hali yako
 
Back
Top Bottom