Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
CW
 
Karibu babu yangu (sio babu yetu)
Baada ya kukufundisha Mambo ya digital Mjukuu wa kukuna ndevu za babu na kumsugua gaga nipo.

Alaf Babu me naomba uwashauri wajukuu zako wengine waachane na Mambo za kuhisi hisi maana wanavuruga Uzi. Babu nitakuja unikague kama kweli Mimi ni maua au sio.
Hapa ni mahapa fulu fulu mengine badae.
Kwahiyo Mjukuu umeamua kunibeba Babu yako mzima mzima

Tafadhali uwe unaniachia muda niwe naenda kumsalimia Bibi yenu Kijijini, nimetoka naye mbali yule unajua 😜

Hapo kwenye kukagua usijali, nilipataga ("B+) kwenye somo la ukaguzi Mwaka 47 🤗🏋️

Lazima nitaleta Mrejesho hapa kwamba wewe ndiye ama tumsubiri ajaye 🤗
 
U
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
UKute wewe ndio wakwangu ila ulivyo mchoyo unataka Watu wataje we hujanitaja
 
Back
Top Bottom