Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo

So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke πŸ“Œ
My brotha nailed it! This shit is real 100%
 
Wavuta mjani toka lini wakawa na principle kwenye mapenzi?? 🀣🀣🀣
Ww sema unatega nyavu hapa uvue papa na sangara
Oya, hivi unadhani kuna mtu anajua kuluv na kucare kama mimi..

Hapa mama watoto kaenda kwao kusalimia , siku ya 3 tu nimekopi wimbo wa akudo safari sio kifoo, nimemtumia zinga la barua πŸ˜‚
Nimetuma audio watsap wananiambia sijui kimeenda kimerudi nimetuma kwa maneno sasa.πŸ˜‚
 
Ushawahi kusikia zile kauli za

Huyu kwangu hapindui

Aniache Mimi ataenda wapi

Au ushawahi kuona situations mtu yupo free kumuoneshea dharau mpenzi wake consistently, na muda mwingine hadi kucheat wazi wazi bila hofu

Hiyo yote inasababishwa na "assurance"

Na tunapoongelea assurance haimaanishi kutokuwa presence au kuonesha care and love Ila kutomuonesha mtu OBSESSION au STRONG ATTACHMENT. Kwa sababu hivyo ni vitu tofauti na upendo japo kwa mtu anaevifanya huona kama ni upendo Ila kiuhalisia hata anaeupokea huuona kama abnormality flani ambayo inampa uhalali wa kumtesa mwenzie
Kwa mapenzi ya kibongo ni way better kuwa unpredictable and independent with your feelings over someone ili usimpe assurance ya 100% kuwa amekuweza. Ukifeli hapa unaanza kuwa bullied na narcissist behaviour ya unayemwita mpenzi.
 
Trust me...I'm talking about the same thing you are talking about.

I get what you are saying πŸ’―. Ni kweli kwamba kwa kiasi kikubwa watu huwa wanaabuse assurance wanayopewa na wenza wao kwasababu wanaamini huyo mwenza hana pakwenda/kimbilia. Kitu ambacho kinahalalisha watu kutopenda kujimwaga/kuonyesha hisia zao zote kiasi chakumfanya mwenzake ajue anapendwa kufa, and at that moment she/he means everything.

Personally, lack of assurance inafanya niwe very reserved. Siwezi kujitoa kwa asilimia zote 105 kwa mtu ambae nafasi yangu kwenye maisha yake sio ya kipekee, wala sioni sababu yakuwepo kwenye mahusiano hayo. Assurance inafanya nijue nafasi yangu, kujua nafasi yangu ndio kunapelekea niweze kuamua nijitoe kwa kiasi gani, na wakati gani nahitajika zaidi.

Kama sasa hivi...the amount of support I give my dude ili kumrahisishia maisha na kumpunguzia stress is above and beyond. Na hata sioni kama I'm giving too much kwababu assurance ipo, na ikibidi kujazia 90% kwenye 15% zangu nnapohitaji, na yeye anafanya bila hiyana.
You must have tied knots by now...Its too fragile kujiwekesha kwa mtu ambaye hamna mkataba wa aina yeyote for the sake ya mapenzi tu.
 
Binafsi niko kwenye state ambayo i take mapenzi non seriously sababu ya behaviour changes za binadamu. I reserve those feelings to myself ingawa tunaweza kuwa tupo kwenye serious relationship. Sitaki kujiskia like dead butteflies siku akitaka ku move on yeye aende tu. Haitachukua 24 hours i will be rocking on some other shit πŸ˜‚
 
Oya, hivi unadhani kuna mtu anajua kuluv na kucare kama mimi..

Hapa mama watoto kaenda kwao kusalimia , siku ya 3 tu nimekopi wimbo wa akudo safari sio kifoo, nimemtumia zinga la barua πŸ˜‚
Nimetuma audio watsap wananiambia sijui kimeenda kimerudi nimetuma kwa maneno sasa.πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Binafsi niko kwenye state ambayo i take mapenzi non seriously sababu ya behaviour changes za binadamu. I reserve those feelings to myself ingawa tunaweza kuwa tupo kwenye serious relationship. Sitaki kujiskia like dead butteflies siku akitaka ku move on yeye aende tu. Haitachukua 24 hours i will be rocking on some other shit πŸ˜‚
Wanasema Ukiona mapenz hayakuumiz Tena ujue ushaanza kuwa ...... πŸ˜€
 
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
ishi nao kwa akili :AmazingPls:
 
Back
Top Bottom