Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
NILIMUITA BABE MBELE ZA WATU AKANIITA PEMBENI AKANIAMBIA "TUMIA AKILI"π hili neno silitaki tena heri nikae kimya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ndio kaka yakeπ―marhabaa binti,,vip unakaka ambae ndoa yake inamvuruga aje nimtulize ππ,, inaonesha mnajua kupenda
Ahahahahahah..Yan ephen_ mdogo angu sijui nikusaidiaje unielewe kuwa sisi ni watu tofaut wenye ukaribu sana. Falsasa zetu kwa namna flan zinaendana na ndio chanzo cha kujuana hapa jf. Huyu nataman nimtag dada ako mmoja mzuri mzuri hapa aje kukuthibitishia hilo sema tu tika niwe Ivan sijawah pemda ajue hii id ila yeye angekuambia we r two different persons.Unaandika mwenyewe halafu unakuja kujitekenya eti mdogo wakoππ€Έ
Unajikuta Simba mwenda pole au siyoOya mwanangu Mpaji Mungu ko sisi ndo hatuna ma manzi auπ€£π
Anajua kutupa heka heka dada enu πππJF full tafranii, kila siku njegekaaa, hata hatupumzikiii.
Woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndo hapo sasa, halafu anajijua kabisa kuwa hata Kiswahili chake humu ni cha kipekee sana kama lilivyo jina lake π π π π πTatizo tunachukuliana poa ππππ. Sa kwanini mtu afungue ID mpya na ajisifie? ππππππππ
@cacuteeπ₯°Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).
Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.
Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.
Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.
Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.
Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.
Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.
Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...
Unique Flower πΊπ»πΉπ· njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
Au ndo mimi Hannah πMimi wangu hataki nimtaje anasema italeta shida etiπππ
Wewe mtag huyo dada unayemsifia mzuri mzuriπ€ΈAhahahahahah..Yan ephen_ mdogo angu sijui nikusaidiaje unielewe kuwa sisi ni watu tofaut wenye ukaribu sana. Falsasa zetu kwa namna flan zinaendana na ndio chanzo cha kujuana hapa jf. Huyu nataman nimtag dada ako mmoja mzuri mzuri hapa aje kukuthibitishia hilo sema tu tika niwe Ivan sijawah pemda ajue hii id ila yeye angekuambia we r two different persons.
Kashindwa kubadilisha hata muandiko atudanganye wenzie ππππ. Ila Nahisi kuna watu wanamvuruga humu anaona abadilishe ID labda watamzingatiaMwenyewe na topic zake zile zile za kila siku π€£π€£π€£
πππππππππππππ. Akipost uzi hata mtu akikusomea unajua mwandishi ni naniSi ndo hapo sasa, halafu anajijua kabisa kuwa hata Kiswahili chake humu ni cha kipekee sana kama lilivyo jina lake π π π π π
Anazingua sana, huu uzi ataukimbia tu subiri ππππππππππππππ. Akipost uzi hata mtu akikusomea unajua mwandishi ni nani
Ahahahah...inawezekana hajakufikia mpaka siku nithibitishe hiloWewe mtag huyo dada unayemsifia mzuri mzuriπ€Έ
Ulisema hii nyumba unaikimbia, mbona bado unaendelea kukaa?Ahahahah...inawezekana hajakufikia mpaka siku nithibitishe hilo
Ahahahah wewe ni mkorofi sana ephen_ ππUlisema hii nyumba unaikimbia, mbona bado unaendelea kukaa?