Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mbona watu sema Dr ππI'm pleased to know we sio team #kataandoa π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona watu sema Dr ππI'm pleased to know we sio team #kataandoa π
Kaka we penda kwa macho, USI jifanye bingwa wa kutazama nyuma ya avatar π€£π€£ππππ
Usinishauri bn kikubwa mliendana kinomaπRomeo & JulietKaka we penda kwa macho, USI jifanye bingwa wa kutazama nyuma ya avatar π€£π€£
Halafu hata da mau alikuwa analipenda neno TomasoπUsiwe tomaso Uwe unaamini. Siwezi kuwa mtu flani. Trust me
Muache kuzingua na hiyo campaign yenu!!!πMbona watu sema Dr ππ
Ni mfananoHalafu hata da mau alikuwa analipenda neno Tomasoπ
Tena nyie watoto wapya ni nyakunyaku balaa ndio maana tumetulia hatujitokeziNi mfanano
Maua nimemsoma kwenye ule Uzi wa couple za jf zilizofifia alipowataja waliojaribu kupita nae kimtindo.
Ule uzi ulinisukuma kuweka huu wa kujiachia japo naona had muda huu navyoandika mmekataa kujitokeza
Watanzania ni watu wa kulalamika kuwa haki Zina banwa.Muache kuzingua na hiyo campaign yenu!!!π
Oya tuta kutana kwenye vitasa aiseeππ.Usinishauri bn kikubwa mliendana kinomaπRomeo & Juliet
Kwamba mna Linda makoloni yenu ππTena nyie watoto wapya ni nyakunyaku balaa ndio maana tumetulia hatujitokezi
Alikua anajitishia kuolewa apate nafasi ya kupush ID mpya πππYaani nilivyoanza tu kusoma nikasema huyu si dada bibi harusi huyu?
Haki zinazobanwa na ndoa ni zipi hizo?π Matatizo yaliyopo lawama zake ziende kwa wanandoa bana...sio ndoa.Watanzania ni watu wa kulalamika kuwa haki Zina banwa.
Ila nyie ndo madikteta wenyeweππ, kataa ndoa π€