Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Haki zinazobanwa na ndoa ni zipi hizo?🙄 Matatizo yaliyopo lawama zake ziende kwa wanandoa bana...sio ndoa.

PS.
Nakataa kuitwa dictator nje ya kazi. 😁
He itakuwa we kweli bandidu kazini, una wapeleka watu mpela mpela😁.

Sema kataa ndoa hiki chama hiki 🤣
 
Trust me...I'm talking about the same thing you are talking about.

I get what you are saying 💯. Ni kweli kwamba kwa kiasi kikubwa watu huwa wanaabuse assurance wanayopewa na wenza wao kwasababu wanaamini huyo mwenza hana pakwenda/kimbilia. Kitu ambacho kinahalalisha watu kutopenda kujimwaga/kuonyesha hisia zao zote kiasi chakumfanya mwenzake ajue anapendwa kufa, and at that moment she/he means everything.

Personally, lack of assurance inafanya niwe very reserved. Siwezi kujitoa kwa asilimia zote 105 kwa mtu ambae nafasi yangu kwenye maisha yake sio ya kipekee, wala sioni sababu yakuwepo kwenye mahusiano hayo. Assurance inafanya nijue nafasi yangu, kujua nafasi yangu ndio kunapelekea niweze kuamua nijitoe kwa kiasi gani, na wakati gani nahitajika zaidi.

Kama sasa hivi...the amount of support I give my dude ili kumrahisishia maisha na kumpunguzia stress is above and beyond. Na hata sioni kama I'm giving too much kwababu assurance ipo, na ikibidi kujazia 90% kwenye 15% zangu nnapohitaji, na yeye anafanya bila hiyana.
Lizzy wewe ni special case na jamaa yupo very lucky kuwa na wewe kwa sababu mmeweza kuendana. Ila huku mtaani issue ni tofauti,
 
Daah!!! Uliwahi kuzaa mwanangu!
Upo 30rd floor watoto wanne wifi nampa hongera zake😂

Ni haya kutokujibu chochote maana neno lolote linaweza kutumika dhidi yangu katika point ya makutanio "posta" ☺
 
Back
Top Bottom