Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

@ achiiachii
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
achiiachii
 
Hapa ni kama unapiga gita kwenye maji maana hapa Bongo hakuna mapenzi japo tunajitahidi kuiga lakini wapi, kazi bure tu. Si wanawake wala wanaume wote ni mahenga wa kuruka njia na kusalitiana na bahati mbaya siku hizi wanawake ndiyo wanaongoza kusaliti mahusiano yao.
 
Na mvua hizi unateseka ukiwa wapi?
Mabibi wanateseka jamani. Hivi inakuwaje mtu analazimisha kitu ambacho hakipo Hadi mishipa ya shingo imemkomaa 😂😂😂😂
Bakini na ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom