Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

CW
 
Kwahiyo Mjukuu umeamua kunibeba Babu yako mzima mzima

Tafadhali uwe unaniachia muda niwe naenda kumsalimia Bibi yenu Kijijini, nimetoka naye mbali yule unajua 😜

Hapo kwenye kukagua usijali, nilipataga ("B+) kwenye somo la ukaguzi Mwaka 47 πŸ€—πŸ‹οΈ

Lazima nitaleta Mrejesho hapa kwamba wewe ndiye ama tumsubiri ajaye πŸ€—
 
U UKute wewe ndio wakwangu ila ulivyo mchoyo unataka Watu wataje we hujanitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…