Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
557
Reaction score
858
Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa.

Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa.

Nakusihi uonyeshe ushirikiano wako kwa makarani wa Sensa watakaofika kwenye makazi yako.

Usiwe kama watu wasioelimika au wasiokuwa na maarifa ya neno la Mungu, uwe muungwana.

Mungu akubariki sana
Samson Ernest
 

Huna lolote la kusema kuhusu tozo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…