Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

Sukuma gang acha ubishi
Mimi sihesabiwi kwani sioni umuhimu wa mimi kuhesabiwa, wanaopata misaada kutoka serikalini ndiyo wahesabiwe, sasa mimi unanihesabu ili iweje au napata manufaa gani
 
Karani asipokuja na zawadi sikuelewi...yaani niache kwenda kibaruani halafu apite mikono mitupu
 
Hpn kwa toso hz siwez kukubali kuhesabiwa aki vile wasahau na uzuri naish nyumb za nhc hvyo wakija sifungui mlngo nitKuwa nauchapa usingizi sikubali had waondoe tozo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Saiz serkal inasema tukihesabiwa ndy ipange mipango ya maendeleo,mipango yenyew ni kuimpose tozo kila kona unayogusa
Yaani wakipata idadi yetu kuna watu wataanza kusema tz tupo watu kadhaa ivi kila mmoja akikatwa kiasi fulan tunapata...
What a fak..
 
Nasema kabisa sipo tyari kuhesabiwa!!! Nitahesabiwa nikiwa burundi!!! Heshimu maamuzi tafadhali[emoji29][emoji29][emoji29]
 
Nyie si mlikua mnasema sukuma gang wanalalamika imekuaje leo nyie ndo mnaongoza kulalamika sana
Hahahahaha mkuu nimegeuka Sukuma gang kweli? Wakati wewe ndiye Sukuma gang kitambo toka enzi za mwendazake
 
Back
Top Bottom