Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

Hivi mnajua jinsi mnavyohamasisha kama ni siku ya kiama tutubu dhambi...., mtawafanya watu waogope wadhani kuna jambo la ziada. Mbona limeshaeleweka?.
 
Nasikitika karani atakayepita mtaani kwangu ni mwanaume daaah!
 
Hii iliwahi nikuta huko Nzega,nikawa Ngoswe aisee zile nyaraka Mungu alisaidia zisiungue wallah
 
Hivi mnajua jinsi mnavyohamasisha kama ni siku ya kiama tutubu dhambi...., mtawafanya watu waogope wadhani kuna jambo la ziada. Mbona limeshaeleweka?.
Mimi sihesabiwi kwani sioni umuhimu wa mimi kuhesabiwa, wanaopata misaada kutoka serikalini ndiyo wahesabiwe, sasa mimi unanihesabu ili iweje au napata manufaa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…