Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
- Thread starter
-
- #41
Usiwe NgosweView attachment 2331348
Hii iliwahi nikuta huko Nzega,nikawa Ngoswe aisee zile nyaraka Mungu alisaidia zisiungue wallah
Mimi sihesabiwi kwani sioni umuhimu wa mimi kuhesabiwa, wanaopata misaada kutoka serikalini ndiyo wahesabiwe, sasa mimi unanihesabu ili iweje au napata manufaa gani
Hahahahaha mkuu nimegeuka Sukuma gang kweli? Wakati wewe ndiye Sukuma gang kitambo toka enzi za mwendazakeSukuma gang acha ubishi
Hahahahaha mkuu nimegeuka Sukuma gang kweli? Wakati wewe ndiye Sukuma gang kitambo toka enzi za mwendazake