LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Frampeni- Frying panMimi
1. Site mirror - Side Mirror
2. Singboard - Ceilling board
3..........[emoji116][emoji116][emoji116]
Thanks umenifanya nimeelewa vizuri hilo nenoAmbakati .............. Upper cut
Unakuta wachambuzi na watangazaji tena nguli kabisa wa Azam kwenye vitasa " Amekula Amba moja matata kadondoka chini" ππThanks umenifanya nimeelewa vizuri hilo neno
View attachment 2045192
Unabaki unajiuliza amba hiyo ni amba rose au amba lulu Unabaki unaduwaaa ππUnakuta wachambuzi na watangazaji tena nguli kabisa wa Azam kwenye vitasa " Amekula Amba moja matata kadondoka chini" ππ