Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

Bado sijaelewa uhusiano kati ya ya hali ya kuwa strong kama tunavyosemaga "nipo fiti kali kiti" na hicho kidude cha kutengeneza curly hair, mantiki na etymology ya huu msemo iko wapi?
images (23).jpeg

Apa - hapa., uko - huko., dugu -ndugu., curly kit -kalikiti. Musa Hassan -Msasani. Bombay -Mumbayi., Bangalore - Bengaluri
 
Kapreta-carburetor
Endiketa-indicator
 
Wapogoro na wapare watani zangu mnatuharibia lugha du🤣🤣
 
Achana na haya maneno ya kizungu ambayo aliyeishia darasa la 7 au chini ya hapo kwenye shule za serekali yatamsumbua.
Kiswahili tu chenyewe ni shida! siku hizi 'r' kuandikwa na kutamkwa baadala ya 'l' imekuwa kawaida mpaka kero! Mbaya zaidi waandishi wa habari, tumepotea!
 
INSURANCE- unalisikia jitu linasema inshuwarensi[emoji23], although there's no double R' here to sound as "insure'rence" badara yake inapaswa kusomeka na kutamkwa Kama inshu-rensiii nasio inshuwarensi sababu hakuna r" mbili hapo.

Watanzania tujitahidi kufuata taratibu za lugha na matamshi
 
1. Kontawa - control tower

2. Shokonaiza - Synchronizer

3. Samanzi - Summons
 
Siraha = silaha
Laisi = raisi
Ugari = ugali
 
Back
Top Bottom