Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

Rais, sio Raisi (mkuu wa nchi)

Rahisi, sio laisi wala raisi (nyepesi, kwa wepesi, simple)
 
INSURANCE- unalisikia jitu linasema inshuwarensi[emoji23], although there's no double R' here to sound as "insure'rence" badara yake inapaswa kusomeka na kutamkwa Kama inshu-rensiii nasio inshuwarensi sababu hakuna r" mbili hapo.

Watanzania tujitahidi kufuata taratibu za lugha na matamshi
Nimesikiliza pronunciation kwenye dictionary, "r" ya kwanza ipo ila inaminywa sana, you have to be UK English accented to hear or spell it correctly.
 
Kuna mkuu wa mkoa kasema kagugu jamani mutasaidie hapo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

Kugugu - Google
 
Naomba mnipe maana halisi ya "civil society" na "civil servant" maana nimeenda Google lakin sielewi.
 
Back
Top Bottom